Picha ya siku kutoka kwa Rais Samia iliyoteka anga la siasa za Tanzania

Picha ya siku kutoka kwa Rais Samia iliyoteka anga la siasa za Tanzania

Ndugu zangu Watanzania,

Kwa Hakika Tuna Rais mbele yetu kama Taifa, Tuna kiongozi mwenye upendo na Taifa hili, tuna Jemedari hodari ambaye wakati wote ni Mshindi,tuna kiongozi mwenye maono ,maarifa na akili kubwa mbele yetu,tuna Rais ambaye anajua wajibu wake na kufurahia kazi yake. Tuna Komandoo ambaye amejitoa mhanga kupigania Taifa lake.

Tuna Field Marshall Katika Taifa letu. Rais Samia Rais Samia analeta raha sana kwa Taifa letu. Ndio sababu unaona hata nyuso za watanzania mitaani zina furaha ,tabasamu , matumaini na bashasha kubwa sana. Kwa sababu ya kuwa na mfariji Wa Taifa mwenye upendo ,huruma ,ukarimu , unyenyekevu na kujitolea kwa ajili ya watanzania wote.

Ni kiongozi ambaye kila akitoka nje ya mlango wake anatoka na fursa mkononi kwa ajili ya watanzania,anatoka na majawabu kwa kero za wananchi,anatoka na fursa za ajira kwa vijana ,anatoka na kikombe cha furaha kwa ajili ya watanzania. Rais Samia ni Kama nuru au Mwanga katikati ya giza.

Embu Tazama katika picha hii ya siku ya leo ambayo imemfanya hata mlinzi wake wa kushoto au waweza kusema kulia kwake akapatwa na tabasamu katika uso wake kuashiria kufurahia . Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kuongoza Taifa letu. Yaani huchoki kumfuatilia Mama . Ni kama nyota ya asubuhi . Rais Samia ni Neema na baraka kwa Taifa letu. Ndio maana mambo yanakwenda yakiwa yamenyooka kama rula. Kwa sababu aliye kitini ni mwenye kibali cha Mungu.

Rais Samia Ishi Maisha marefu Mama yetu. Wewe ni Mwanga na nuru ya Taifa letu uliyeleta furaha na tabasamu kwa mamilioni kwa mamilioni ya watanzania. Umefanyika baraka na neema kwa watu wa makundi Yooote.View attachment 3426405

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Swaga za mama ni Kali sana ,anafurahia maendeleo huku Machadema yananuna 😂😂
 
Kweli maendeleo yapo........tangu uhuru bado shule za msingi watoto wabakaa chini.....graduates wanazidi kujaa mitaani........pamoja na nchi kuwa na rasilimali nyingi, mikataba ya akina chifu Mangungo
Ni kweli Kwa sababu mumeacha kuzaa Kwa kasi
 
Mwambie mamako kama anapemdwa kweli mboma anaogopa Reforms, mbima anamuogopa Lissu? acha kutuhadaa watanganyika.
 
Ni kweli Kwa sababu mumeacha kuzaa Kwa kasi
Haya ndio majibu ya wana CCM pindi wanapoulizwa maswali yenye uhalisia, asante kwa majibu mazuri....mama mitano tena.....
Sasa kama chama kinakubalika, kimefanya maendeleo mengi tangu nchi hii imepata uhuru kwanini hakitaki tume huru ya uchaguzi??
 
Back
Top Bottom