Picha ya siku kutoka Mbalizi, Mbeya

Picha ya siku kutoka Mbalizi, Mbeya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Imepatikana kwenye Maandamano kabambe ya Chadema , kwenye ile Ruti ya kutokea Mbalizi

Hii hapa, inahusiana na Madhara ya Kikokotoo

Screenshot_2024-02-20-17-45-58-1.png
 
mandamano ya chadema yamekosa mvuto kisiasa ukiyatizama kwa umakini
 
Hii ndio Hali halisi ya maandamano ya Chadema leo Mbeya mpaka yamepelekea mbunge wao kuwakaribisha watu Mbeya akiwaambia Mbeya ni shwari😄😄😄😄
Screenshot_2024-02-20-19-40-40-403_com.instagram.android.jpg
 
Back
Top Bottom