Picha zingine hizi hapa chini. Kweli maandamano yalifana sana..... hahahaha....Imepatikana kwenye Maandamano kabambe ya Chadema , kwenye ile Ruti ya kutokea Mbalizi
Hii hapa, inahusiana na Madhara ya Kikokotoo
View attachment 2910263
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha zingine hizi hapa chini. Kweli maandamano yalifana sana..... hahahaha....Imepatikana kwenye Maandamano kabambe ya Chadema , kwenye ile Ruti ya kutokea Mbalizi
Hii hapa, inahusiana na Madhara ya Kikokotoo
View attachment 2910263
KabisaAliyeidhinisha matumizi ya hiki kikokotoo kipya cha wastaafu atakuwa ana undugu na shetani.
Wepi hao wamechoka mbao wamekufanya wewe chadema uwe msemaji wao?Watanzania wamechoka sana
Hivi wakimbizi(wanyarwanda) mnaruhusiwa kufanya siasa uhamishoni?Chadema ikulu mtaionea kwenye azam TV tuu
Umeandika kishamba sana !Chadema ikulu mtaionea kwenye azam TV tuu
Jambo muhimu hapa,Picha zingine hizi hapa chini. Kweli maandamano yalifana sana..... hahahaha....
View attachment 2910439
Amenifurahisha alivyouweka mwandiko kisanii.Watamtafuta,
Jitahidi kumsitiri Kwa Kila njia, maana ujumbe umeshafika.