Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Sawa kabisaNdugu zangu Watanzania,
Ni kweli Mlinzi Mkuu wa Maisha ya Mwanadamu hapa Duniani ni Mungu Mwenyewe. Ni kweli pasipo mkono wa Mungu hata mwanadamu akikesha analinda atakuwa anafanya kazi ya bure kabisa. Ni kweli Mungu ndiye wa kutumainiwa na kutegemewa katika ulinzi wa Mtu yeyote yule.
Lakini ni ukweli usio pingika ya kuwa Mungu Mwenyewe ndiye mtoa njia na maarifa kwa maadamu katika jambo lolote lile ukimtumainia na kumtegemea kwa moyo wako wote na ukamwamini yeye tu. Maana imeandikwa amelaaniwa yule amtegemeaye Mwanadamu kama kinga yake na huku moyoni mwake amemwacha Bwana.
Ni kweli hata katika ulinzi wa viongozi wetu kama Rais . Mungu wetu ndiye hutoa maarifa ,ujuzi ,uwezo ,macho ya rohoni katika kutoa ulinzi imara na madhubutu. Mungu ndiye mtoa Njia na mwenye uwezo wa kumpa mwanadamu ishara mbalimbali katika ulimwengu wa kiroho kupitia jicho la tatu kuweza kung'amua mambo mbalimbali.
Palipo na Mkono wa Mungu hakuna mwanadamu awezaye kufanya chochote kile kilicho kinyume na Mapenzi ya Mwenyezi Mungu. Hakuna chochote kinachoweza kujiinua .
Kwa hakika ulinzi wa Rais wetu na safu nzima ya walinzi wake Rais wetu Mpendwa ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kuna mkono wa Mungu katika kila akanyagapo ardhini Rais wetu. Kuna uso wa Mungu uambatanao na Rais Samia kila aendako. Kuna nuru na Mwanga kutoka kwa Mwenyezi Mungu ulio mbele ya Rais wetu na walinzi wake popote apigapo hatua na kutembea awapo popote pale.
Ukiangalia kwa jicho la rohoni unaona wazi kabisa Mungu akiwa pamoja na Rais wetu na walinzi wote wamzungukao Mama yetu ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na wapo hapo kwa kibali cha Mungu Mwenyewe. Kwa Uweza wa Mwenyezi Mungu, Rais wetu Mpendwa ataendelea kuwa salama salimini na kulindwa na Mkono wa Mungu Mwenyewe.View attachment 3459061View attachment 3459062
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Peleka huko ushetani wako weweUna ushamba mwingi TZ kama Kuna snapper mwenye bunduki ya kupinga long range, hao walinzi ni Bure, muulize Trump na Shinzo Abe
Kudumu Chama Cha Mapinduzi ladies and gentlemen 🔥Ndugu zangu Watanzania,
Ni kweli Mlinzi Mkuu wa Maisha ya Mwanadamu hapa Duniani ni Mungu Mwenyewe. Ni kweli pasipo mkono wa Mungu hata mwanadamu akikesha analinda atakuwa anafanya kazi ya bure kabisa. Ni kweli Mungu ndiye wa kutumainiwa na kutegemewa katika ulinzi wa Mtu yeyote yule.
Lakini ni ukweli usio pingika ya kuwa Mungu Mwenyewe ndiye mtoa njia na maarifa kwa Mwanadamu katika jambo lolote lile ukimtumainia na kumtegemea kwa moyo wako wote na ukamwamini yeye tu. Maana imeandikwa amelaaniwa yule amtegemeaye Mwanadamu kama kinga yake na huku moyoni mwake amemwacha Bwana.
Ni kweli hata katika ulinzi wa viongozi wetu kama Rais . Mungu wetu ndiye hutoa maarifa ,ujuzi ,uwezo ,macho ya rohoni katika kutoa ulinzi imara na madhubutu. Mungu ndiye mtoa Njia na maarifa na mwenye uwezo wa kumpa mwanadamu ishara mbalimbali katika ulimwengu wa kiroho kupitia jicho la tatu kuweza kung'amua mambo mbalimbali.
Palipo na Mkono wa Mungu hakuna mwanadamu awezaye kufanya chochote kile kilicho kinyume na Mapenzi ya Mwenyezi Mungu. Hakuna chochote kinachoweza kujiinua .
Kwa hakika ulinzi wa Rais wetu na safu nzima ya walinzi wake Rais wetu Mpendwa ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kuna mkono wa Mungu katika kila akanyagapo ardhini Rais wetu. Kuna uso wa Mungu uambatanao na Rais Samia kila aendako. Kuna nuru na Mwanga kutoka kwa Mwenyezi Mungu ulio mbele ya Rais wetu na walinzi wake popote apigapo hatua na kutembea awapo popote pale.
Ukiangalia kwa jicho la rohoni unaona wazi kabisa Mungu akiwa pamoja na Rais wetu. na walinzi wote wamzungukao Mama yetu ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na wapo hapo kwa kibali cha Mungu Mwenyewe.
Kwa Uweza wa Mwenyezi Mungu, Rais wetu Mpendwa ataendelea kuwa salama salimini na kulindwa na Mkono wa Mungu Mwenyewe.View attachment 3459061View attachment 3459062
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ma CHADEMA yamenuniana na kuona wivu mkubwa sana kwa namna Rais wetu anavyoendelea kupata mapokezi makubwa na mazito sanaKudumu Chama Cha Mapinduzi ladies and gentlemen 🔥
Una akiliOctober tunatiki
We ni nyani tu nenda kajaribuUna ushamba mwingi TZ kama Kuna snapper mwenye bunduki ya kupinga long range, hao walinzi ni Bure, muulize Trump na Shinzo Abe
Atapata pigo kali ambalo hajawahi kushuhudia hapa Duniani. Rais wetu Mpendwa ndiye Mboni yetu na Nembo ya Taifa letu. Tutamlinda na atalindwa kwa gharama zozote zile ziwazo.We ni nyani tu nenda kajaribu
Wewe ni mwehu unakosa hata Cha kupost..kila linalokuja kiwani unaruka nalo ilimradi buku imeingia. asa huo ni Ulinzi?Ndugu zangu Watanzania,
Ni kweli Mlinzi Mkuu wa Maisha ya Mwanadamu hapa Duniani ni Mungu Mwenyewe. Ni kweli pasipo mkono wa Mungu hata mwanadamu akikesha analinda atakuwa anafanya kazi ya bure kabisa. Ni kweli Mungu ndiye wa kutumainiwa na kutegemewa katika ulinzi wa Mtu yeyote yule.
Lakini ni ukweli usio pingika ya kuwa Mungu Mwenyewe ndiye mtoa njia na maarifa kwa Mwanadamu katika jambo lolote lile ukimtumainia na kumtegemea kwa moyo wako wote na ukamwamini yeye tu. Maana imeandikwa amelaaniwa yule amtegemeaye Mwanadamu kama kinga yake na huku moyoni mwake amemwacha Bwana.
Ni kweli hata katika ulinzi wa viongozi wetu kama Rais . Mungu wetu ndiye hutoa maarifa ,ujuzi ,uwezo ,macho ya rohoni katika kutoa ulinzi imara na madhubutu. Mungu ndiye mtoa Njia na maarifa na mwenye uwezo wa kumpa mwanadamu ishara mbalimbali katika ulimwengu wa kiroho kupitia jicho la tatu kuweza kung'amua mambo mbalimbali.
Palipo na Mkono wa Mungu hakuna mwanadamu awezaye kufanya chochote kile kilicho kinyume na Mapenzi ya Mwenyezi Mungu. Hakuna chochote kinachoweza kujiinua .
Kwa hakika ulinzi wa Rais wetu na safu nzima ya walinzi wake Rais wetu Mpendwa ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kuna mkono wa Mungu katika kila akanyagapo ardhini Rais wetu. Kuna uso wa Mungu uambatanao na Rais Samia kila aendako. Kuna nuru na Mwanga kutoka kwa Mwenyezi Mungu ulio mbele ya Rais wetu na walinzi wake popote apigapo hatua na kutembea awapo popote pale.
Ukiangalia kwa jicho la rohoni unaona wazi kabisa Mungu akiwa pamoja na Rais wetu. na walinzi wote wamzungukao Mama yetu ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na wapo hapo kwa kibali cha Mungu Mwenyewe.
Kwa Uweza wa Mwenyezi Mungu, Rais wetu Mpendwa ataendelea kuwa salama salimini na kulindwa na Mkono wa Mungu Mwenyewe.View attachment 3459061View attachment 3459062
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Bila shaka wewe ndiye Muhuni.Kataa WAHUNI.
Kama una hasira sana nenda unywe sumu UFE kabisa maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata MbinguniWewe ni mwehu unakosa hata Cha kupost..kila linalokuja kiwani unaruka nalo ilimradi buku imeingia. asa huo ni Ulinzi?
Sina faida kwako na hao mabwana.zako unaowaabudu ambao Mbingu yao ni JehanamuKama una hasira sana nenda unywe sumu UFE kabisa maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
Embu kunywa Sumu UFE. Halafu uone kama kuna mtu atakaye sikitika au kuumia.Sina faida kwako na hao mabwana.zako unaowaabudu ambao Mbingu yao ni Jehanamu