Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #21
Huna akili. Uwe na adabuMbona kama ni kundi la watu waliochanganyikiwa,na wewe msenge pori upo wapi kwenye hiyo picha

Majitu yaliyozoea kuteka na.kuua yanapenda kutamka neno kifo maana damu ikimwagika.ndo.matambiko yaoEmbu kunywa Sumu UFE. Halafu uone kama kuna mtu atakaye sikitika au kuumia.
Ndugu zangu Watanzania,
Ni kweli Mlinzi Mkuu wa Maisha ya Mwanadamu hapa Duniani ni Mungu Mwenyewe. Ni kweli pasipo mkono wa Mungu hata mwanadamu akikesha analinda atakuwa anafanya kazi ya bure kabisa. Ni kweli Mungu ndiye wa kutumainiwa na kutegemewa katika ulinzi wa Mtu yeyote yule.
Lakini ni ukweli usio pingika ya kuwa Mungu Mwenyewe ndiye mtoa njia na maarifa kwa Mwanadamu katika jambo lolote lile ukimtumainia na kumtegemea kwa moyo wako wote na ukamwamini yeye tu. Maana imeandikwa amelaaniwa yule amtegemeaye Mwanadamu kama kinga yake na huku moyoni mwake amemwacha Bwana.
Ni kweli hata katika ulinzi wa viongozi wetu kama Rais . Mungu wetu ndiye hutoa maarifa ,ujuzi ,uwezo ,macho ya rohoni katika kutoa ulinzi imara na madhubutu. Mungu ndiye mtoa Njia na maarifa na mwenye uwezo wa kumpa mwanadamu ishara mbalimbali katika ulimwengu wa kiroho kupitia jicho la tatu kuweza kung'amua mambo mbalimbali.
Palipo na Mkono wa Mungu hakuna mwanadamu awezaye kufanya chochote kile kilicho kinyume na Mapenzi ya Mwenyezi Mungu. Hakuna chochote kinachoweza kujiinua .
Kwa hakika ulinzi wa Rais wetu na safu nzima ya walinzi wake Rais wetu Mpendwa ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kuna mkono wa Mungu katika kila akanyagapo ardhini Rais wetu. Kuna uso wa Mungu uambatanao na Rais Samia kila aendako. Kuna nuru na Mwanga kutoka kwa Mwenyezi Mungu ulio mbele ya Rais wetu na walinzi wake popote apigapo hatua na kutembea awapo popote pale.
Ukiangalia kwa jicho la rohoni unaona wazi kabisa Mungu akiwa pamoja na Rais wetu. na walinzi wote wamzungukao Mama yetu ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na wapo hapo kwa kibali cha Mungu Mwenyewe.
Kwa Uweza wa Mwenyezi Mungu, Rais wetu Mpendwa ataendelea kuwa salama salimini na kulindwa na Mkono wa Mungu Mwenyewe.View attachment 3459061View attachment 3459062
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huna akili. Uwe na adabu
Mbona wewe hujauwawa wala kutekwa?Majitu yaliyozoea kuteka na.kuua yanapenda kutamka neno kifo maana damu ikimwagika.ndo.matambiko yao
Niguse ninuse nyau weweMbona wewe hujauwawa wala kutekwa?
Kila aendako?Kuna uso wa Mungu uambatanao na Rais Samia kila aendako.
Mi nakuunga mkono kuendelea kumsifia rais ,ila Sasa punguza kumtajataja Mungu kwenye sifa zako, utakuja kufanya nyakati zako za baadae kuwa ngumu sana na Wala hautajua ni kwa Nini! Hutaki endelea! Ila IPO siku utakumbuka hiliNdugu zangu Watanzania,
Ni kweli Mlinzi Mkuu wa Maisha ya Mwanadamu hapa Duniani ni Mungu Mwenyewe. Ni kweli pasipo mkono wa Mungu hata mwanadamu akikesha analinda atakuwa anafanya kazi ya bure kabisa. Ni kweli Mungu ndiye wa kutumainiwa na kutegemewa katika ulinzi wa Mtu yeyote yule.
Lakini ni ukweli usio pingika ya kuwa Mungu Mwenyewe ndiye mtoa njia na maarifa kwa Mwanadamu katika jambo lolote lile ukimtumainia na kumtegemea kwa moyo wako wote na ukamwamini yeye tu. Maana imeandikwa amelaaniwa yule amtegemeaye Mwanadamu kama kinga yake na huku moyoni mwake amemwacha Bwana.
Ni kweli hata katika ulinzi wa viongozi wetu kama Rais . Mungu wetu ndiye hutoa maarifa ,ujuzi ,uwezo ,macho ya rohoni katika kutoa ulinzi imara na madhubutu. Mungu ndiye mtoa Njia na maarifa na mwenye uwezo wa kumpa mwanadamu ishara mbalimbali katika ulimwengu wa kiroho kupitia jicho la tatu kuweza kung'amua mambo mbalimbali.
Palipo na Mkono wa Mungu hakuna mwanadamu awezaye kufanya chochote kile kilicho kinyume na Mapenzi ya Mwenyezi Mungu. Hakuna chochote kinachoweza kujiinua .
Kwa hakika ulinzi wa Rais wetu na safu nzima ya walinzi wake Rais wetu Mpendwa ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kuna mkono wa Mungu katika kila akanyagapo ardhini Rais wetu. Kuna uso wa Mungu uambatanao na Rais Samia kila aendako. Kuna nuru na Mwanga kutoka kwa Mwenyezi Mungu ulio mbele ya Rais wetu na walinzi wake popote apigapo hatua na kutembea awapo popote pale.
Ukiangalia kwa jicho la rohoni unaona wazi kabisa Mungu akiwa pamoja na Rais wetu. na walinzi wote wamzungukao Mama yetu ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na wapo hapo kwa kibali cha Mungu Mwenyewe.
Kwa Uweza wa Mwenyezi Mungu, Rais wetu Mpendwa ataendelea kuwa salama salimini na kulindwa na Mkono wa Mungu Mwenyewe.View attachment 3459061View attachment 3459062
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kama huyo ndo mboni ma nembo ya taifa basi Tanzania ina mkosi, na haitakuja kutoboa.Atapata pigo kali ambalo hajawahi kushuhudia hapa Duniani. Rais wetu Mpendwa ndiye Mboni yetu na Nembo ya Taifa letu. Tutamlinda na atalindwa kwa gharama zozote zile ziwazo.
Moja ya picha za kutengenezea frame na kumpelekea zawadi Bi.Tozo. 😂🤣
Hahaha huo umakini upo wap hapo,Ndugu zangu Watanzania,
Ni kweli Mlinzi Mkuu wa Maisha ya Mwanadamu hapa Duniani ni Mungu Mwenyewe. Ni kweli pasipo mkono wa Mungu hata mwanadamu akikesha analinda atakuwa anafanya kazi ya bure kabisa. Ni kweli Mungu ndiye wa kutumainiwa na kutegemewa katika ulinzi wa Mtu yeyote yule.
Lakini ni ukweli usio pingika ya kuwa Mungu Mwenyewe ndiye mtoa njia na maarifa kwa Mwanadamu katika jambo lolote lile ukimtumainia na kumtegemea kwa moyo wako wote na ukamwamini yeye tu. Maana imeandikwa amelaaniwa yule amtegemeaye Mwanadamu kama kinga yake na huku moyoni mwake amemwacha Bwana.
Ni kweli hata katika ulinzi wa viongozi wetu kama Rais . Mungu wetu ndiye hutoa maarifa ,ujuzi ,uwezo ,macho ya rohoni katika kutoa ulinzi imara na madhubutu. Mungu ndiye mtoa Njia na maarifa na mwenye uwezo wa kumpa mwanadamu ishara mbalimbali katika ulimwengu wa kiroho kupitia jicho la tatu kuweza kung'amua mambo mbalimbali.
Palipo na Mkono wa Mungu hakuna mwanadamu awezaye kufanya chochote kile kilicho kinyume na Mapenzi ya Mwenyezi Mungu. Hakuna chochote kinachoweza kujiinua .
Kwa hakika ulinzi wa Rais wetu na safu nzima ya walinzi wake Rais wetu Mpendwa ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kuna mkono wa Mungu katika kila akanyagapo ardhini Rais wetu. Kuna uso wa Mungu uambatanao na Rais Samia kila aendako. Kuna nuru na Mwanga kutoka kwa Mwenyezi Mungu ulio mbele ya Rais wetu na walinzi wake popote apigapo hatua na kutembea awapo popote pale.
Ukiangalia kwa jicho la rohoni unaona wazi kabisa Mungu akiwa pamoja na Rais wetu. na walinzi wote wamzungukao Mama yetu ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na wapo hapo kwa kibali cha Mungu Mwenyewe.
Kwa Uweza wa Mwenyezi Mungu, Rais wetu Mpendwa ataendelea kuwa salama salimini na kulindwa na Mkono wa Mungu Mwenyewe.View attachment 3459061View attachment 3459062
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Bado hujanywa sumu ili UFE?Niguse ninuse nyau wewe
Huwezi ukaona ikiwa wewe ni kipofu wa macho na akili.Hahaha huo umakini upo wap hapo,
Hivi ndiyo Rostam anavyowafanya Watanganyika
Wewe ndiye mkosi na nukusi kwa Taifa letu.Kama huyo ndo mboni ma nembo ya taifa basi Tanzania ina mkosi, na haitakuja kutoboa.
Majibu yako yapo kwenye andiko langu.Kama anaimani analindwa na Mungu kwa nini
Awategemee Walinzi ?