PICHA YA SIKU: Namna Walinzi Wa Rais Samia Walivyo Makini na Hodari Katika Kumlinda

Mi nakuunga mkono kuendelea kumsifia rais ,ila Sasa punguza kumtajataja Mungu kwenye sifa zako, utakuja kufanya nyakati zako za baadae kuwa ngumu sana na Wala hautajua ni kwa Nini! Hutaki endelea! Ila IPO siku utakumbuka hili
Kwa hiyo wewe ndiye Mungu na msemaji wa Mungu?
 
Unamlinda rais Kwa kumuangalia rais ?

Hapa sniper s wanatungua chap tu au rais ana matatizo ya faint
 
nna maswali mawili..hiyo miwani huwa ni ya nini..? 2; hivi hao walinzi wa mbele wanapiga ngumi..au wanabinduki tu.??
 
Samia na Kikwete, wameifanya nchi yetu kama godoro la starehe yao.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni kweli Mlinzi Mkuu wa Maisha ya Mwanadamu hapa Duniani ni Mungu Mwenyewe. Ni kweli pasipo mkono wa Mungu hata mwanadamu akikesha analinda atakuwa anafanya kazi ya bure kabisa. Ni kweli Mungu ndiye wa kutumainiwa na kutegemewa katika ulinzi wa Mtu yeyote yule.

Lakini ni ukweli usio pingika ya kuwa Mungu Mwenyewe ndiye mtoa njia na maarifa kwa Mwanadamu katika jambo lolote lile ukimtumainia na kumtegemea kwa moyo wako wote na ukamwamini yeye tu. Maana imeandikwa amelaaniwa yule amtegemeaye Mwanadamu kama kinga yake na huku moyoni mwake amemwacha Bwana.

Ni kweli hata katika ulinzi wa viongozi wetu kama Rais . Mungu wetu ndiye hutoa maarifa ,ujuzi ,uwezo ,macho ya rohoni katika kutoa ulinzi imara na madhubutu. Mungu ndiye mtoa Njia na maarifa na mwenye uwezo wa kumpa mwanadamu ishara mbalimbali katika ulimwengu wa kiroho kupitia jicho la tatu kuweza kung'amua mambo mbalimbali.

Palipo na Mkono wa Mungu hakuna mwanadamu awezaye kufanya chochote kile kilicho kinyume na Mapenzi ya Mwenyezi Mungu. Hakuna chochote kinachoweza kujiinua .

Kwa hakika ulinzi wa Rais wetu na safu nzima ya walinzi wake Rais wetu Mpendwa ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kuna mkono wa Mungu katika kila akanyagapo ardhini Rais wetu. Kuna uso wa Mungu uambatanao na Rais Samia kila aendako. Kuna nuru na Mwanga kutoka kwa Mwenyezi Mungu ulio mbele ya Rais wetu na walinzi wake popote apigapo hatua na kutembea awapo popote pale.

Ukiangalia kwa jicho la rohoni unaona wazi kabisa Mungu akiwa pamoja na Rais wetu. na walinzi wote wamzungukao Mama yetu ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na wapo hapo kwa kibali cha Mungu Mwenyewe.

Kwa Uweza wa Mwenyezi Mungu, Rais wetu Mpendwa ataendelea kuwa salama salimini na kulindwa na Mkono wa Mungu Mwenyewe.View attachment 3459061View attachment 3459062

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa hiyo sisi sote tunaumwa figo? Kwa nini isiwe malaria na UTI ambayo ndio magonjwa ya wengi au hata kujifungua ikawa ni bure?
FB_IMG_1756606787459.jpg
 
Ukiuwa kwa upanga utakufa kwa upanga ndugu ,ukipanda mpunga utavuna mpunga so mshauri unamtetea aache tabia yoyote mbaya kwa binadamu wenzakeee
 
Zilaaniwe Shahawa chafu za baba yako zilizokuzaa ***** Lucas
Ndugu zangu Watanzania,

Ni kweli Mlinzi Mkuu wa Maisha ya Mwanadamu hapa Duniani ni Mungu Mwenyewe. Ni kweli pasipo mkono wa Mungu hata mwanadamu akikesha analinda atakuwa anafanya kazi ya bure kabisa. Ni kweli Mungu ndiye wa kutumainiwa na kutegemewa katika ulinzi wa Mtu yeyote yule.

Lakini ni ukweli usio pingika ya kuwa Mungu Mwenyewe ndiye mtoa njia na maarifa kwa Mwanadamu katika jambo lolote lile ukimtumainia na kumtegemea kwa moyo wako wote na ukamwamini yeye tu. Maana imeandikwa amelaaniwa yule amtegemeaye Mwanadamu kama kinga yake na huku moyoni mwake amemwacha Bwana.

Ni kweli hata katika ulinzi wa viongozi wetu kama Rais . Mungu wetu ndiye hutoa maarifa ,ujuzi ,uwezo ,macho ya rohoni katika kutoa ulinzi imara na madhubutu. Mungu ndiye mtoa Njia na maarifa na mwenye uwezo wa kumpa mwanadamu ishara mbalimbali katika ulimwengu wa kiroho kupitia jicho la tatu kuweza kung'amua mambo mbalimbali.

Palipo na Mkono wa Mungu hakuna mwanadamu awezaye kufanya chochote kile kilicho kinyume na Mapenzi ya Mwenyezi Mungu. Hakuna chochote kinachoweza kujiinua .

Kwa hakika ulinzi wa Rais wetu na safu nzima ya walinzi wake Rais wetu Mpendwa ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kuna mkono wa Mungu katika kila akanyagapo ardhini Rais wetu. Kuna uso wa Mungu uambatanao na Rais Samia kila aendako. Kuna nuru na Mwanga kutoka kwa Mwenyezi Mungu ulio mbele ya Rais wetu na walinzi wake popote apigapo hatua na kutembea awapo popote pale.

Ukiangalia kwa jicho la rohoni unaona wazi kabisa Mungu akiwa pamoja na Rais wetu. na walinzi wote wamzungukao Mama yetu ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na wapo hapo kwa kibali cha Mungu Mwenyewe.

Kwa Uweza wa Mwenyezi Mungu, Rais wetu Mpendwa ataendelea kuwa salama salimini na kulindwa na Mkono wa Mungu Mwenyewe.View attachment 3459061View attachment 3459062

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mwashambwa
 
Back
Top Bottom