PICHA YA SIKU: Namna Walinzi Wa Rais Samia Walivyo Makini na Hodari Katika Kumlinda


Your browser is not able to display this video.
 
Mi nakuunga mkono kuendelea kumsifia rais ,ila Sasa punguza kumtajataja Mungu kwenye sifa zako, utakuja kufanya nyakati zako za baadae kuwa ngumu sana na Wala hautajua ni kwa Nini! Hutaki endelea! Ila IPO siku utakumbuka hili
 
Atapata pigo kali ambalo hajawahi kushuhudia hapa Duniani. Rais wetu Mpendwa ndiye Mboni yetu na Nembo ya Taifa letu. Tutamlinda na atalindwa kwa gharama zozote zile ziwazo.
Kama huyo ndo mboni ma nembo ya taifa basi Tanzania ina mkosi, na haitakuja kutoboa.
 
Kama anaimani analindwa na Mungu kwa nini
Awategemee Walinzi ?
 
Hahaha huo umakini upo wap hapo,
 
Akigusa mtu wa no election anapigwa rungu kali sana la utosi akisindikizwa na ngume ya mgongoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…