PICHA YA SIKU: Namna Walinzi Wa Rais Samia Walivyo Makini na Hodari Katika Kumlinda

Japokuwa sijasoma bandilo lake huyu dada ila swali langu ni kwanini huyu dada hapewi uteuzi mpaka leo ili aache kutusumbua na mambo yake ya kishoga
 
Una ujinga mwingi sana kichwani mwako wewe bwege
 
Ma CHADEMA yamenuniana na kuona wivu mkubwa sana kwa namna Rais wetu anavyoendelea kupata mapokezi makubwa na mazito sana
Mie nitatik oktoba siku nikigundua mgombea wetu wa cccm amefika sehemu na mapokezi ya watu yakawa ya watu kuja mkutanoni bila kusombwa kwa malori...yaani watu wanakuja kwa usafiri binafsi iwe kwa daladala, bajaj, gari nk nk
Sawa na wafanyavyo chadema
 
Nchi inaendelea kuzalisha wangese wengi kama hawa
 
There is always a loop hole & everybody is vulnerable. Sio vitu vya kusifia kupiliza.Ni kuomba amani na haki vitawale tu.Otherwise historia inaonyesha viongozi wakubwa waliondoshwa pamoja na ulinzi mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…