adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Moja kwa Moja..
Leo Rais wa Marekani Donald Trump katika post yake amejipost picha yake ya kutengeneza na AI ikimuonyesha yeye akiwa katika nafasi ya Yesu .
Picha hiyo imepata ukosaaji mkubwa mitandaoni baadhi wakisema anafanya kufuru kwa kuleta mzaha kwenye dini , kujipa nafasi ya Mungu na kujipa nafasi ya Yesu kwa kuunda picha hiyo fake , na wakaweka kifungu katika bible kuthibitisha madai yao kuwa Trump anachokifanya sio sawa
Usijidanganye, Mungu hachezewi . Kile unachopanda , ndicho utakachovuna baadaye.
{ WAGALATIA 6 : 7 }
Tukumbuke Trump sio mara ya kwanza kutengeneza picha zenye mlengo huo aliwahi kufanya hapo nyuma katika kipindi Cha uchaguzi wa Papa wa kanisa katoliki alipost picha hii ikimuonyesha kuwa yeye ndio Papa
#Uzi Tayari