Picha ya Trump akijifananisha na Yesu yapata ukusoaji mkubwa mitandaoni

Picha ya Trump akijifananisha na Yesu yapata ukusoaji mkubwa mitandaoni

Moja kwa Moja..

Leo Rais wa Marekani Donald Trump katika post yake amejipost picha yake ya kutengeneza na AI ikimuonyesha yeye akiwa katika nafasi ya Yesu .

Picha hiyo imepata ukosaaji mkubwa mitandaoni baadhi wakisema anafanya kufuru kwa kuleta mzaha kwenye dini , kujipa nafasi ya Mungu na kujipa nafasi ya Yesu kwa kuunda picha hiyo fake , na wakaweka kifungu katika bible kuthibitisha madai yao kuwa Trump anachokifanya sio sawa

Usijidanganye, Mungu hachezewi . Kile unachopanda , ndicho utakachovuna baadaye.
{ WAGALATIA 6 : 7 }

View attachment 3572294


Tukumbuke Trump sio mara ya kwanza kutengeneza picha zenye mlengo huo aliwahi kufanya hapo nyuma katika kipindi Cha uchaguzi wa Papa wa kanisa katoliki alipost picha hii ikimuonyesha kuwa yeye ndio PapaView attachment 3572296

#Uzi Tayari
Hiyo ni dini wameitengeneza wao Wazungu so watajijua huko huko 😂😂
 
Back
Top Bottom