MAGA wamemshukia vibaya mno aisee!Duh ! mashambulizi yalikuwa mengi sana nini mpaka mzee kurudi nyuma na kuweka ego pembeni kufuta ?
Ngoja niweke bando kubwa nikaperuzi nipate updates mpya
Ameshakata Msaada kupitia USAIDtuiombee USA imekuwa inatusaidia misaada mingi ya afya mpaka kutujengea matundu ya vyoo vya shule na elimu ,misaada mingi.
unabii uliotabiriwa juu ya USA sio mzuri...tuiombee ili isianguke.
watakaoiangusha USA watatokea ndani ,war will be fought from within,those migrants ,wahamiaji hao wataanza kujitoa mhanga na kulipua from inside...
itapelekea USA kufukuza foreigners wote including international students
according to unabii..
SO SAD
All those who mocked Jesus ended up bad,a sound of a falling tree.
pray for USA.
Utetezi wa kitoto sana eti daktari au mtu wa masalaba mwekundu , watu wameendelea kukosoa utetezi wake.Anajitetea kwamba Eti alijiweka kama daktari anayewapa watu matumaini, Eti hio nguo nyekundu ni msalaba mwekundu, uongo wa wazi kabisa, daktari gani anavaa hivyo
kumbeMoja kwa Moja..
Leo Rais wa Marekani Donald Trump katika post yake amejipost picha yake ya kutengeneza na AI ikimuonyesha yeye akiwa katika nafasi ya Yesu .
Picha hiyo imepata ukosaaji mkubwa mitandaoni baadhi wakisema anafanya kufuru kwa kuleta mzaha kwenye dini , kujipa nafasi ya Mungu na kujipa nafasi ya Yesu kwa kuunda picha hiyo fake , na wakaweka kifungu katika bible kuthibitisha madai yao kuwa Trump anachokifanya sio sawa
Usijidanganye, Mungu hachezewi . Kile unachopanda , ndicho utakachovuna baadaye.
{ WAGALATIA 6 : 7 }
View attachment 3572294
Tukumbuke Trump sio mara ya kwanza kutengeneza picha zenye mlengo huo aliwahi kufanya hapo nyuma katika kipindi Cha uchaguzi wa Papa wa kanisa katoliki alipost picha hii ikimuonyesha kuwa yeye ndio PapaView attachment 3572296
#Uzi Tayari
Nitafafanua siku nyingine.Kivipi mkuu wafanane ?