Picha ya vatican: Nini kinaendelea hapa?

Picha ya vatican: Nini kinaendelea hapa?

Wajuzi wa usomaji wa picha na matukio, hapa namuona madame president ameketi pamoja na ndugu Papa ila kuna tukio sijalielewa kwa mkao wa madame president kutokana na uwekaji wa mikono hapo kwenye meza.

View attachment 2901910

Nahisi kama kuna mtu anaapishwa hapa
Bimkubwa kakataa ombi la ubarikio wa mabwabwa
 
Au labda anaibatiza nchi?

Lakini pia ipo jamii imeaminishwa huyo ndiyo mkuu wa shetani duniani na slogan yao 666 may be hapo ndiyo anasainishwa aukubali huo ushetani
 
Papa anaonekana kumshawishi Rais wetu akubali ushoga lakini Rais anakataa😁
Akili zako za Mende, kwani huwezi kuwaza mambo ya maana zaidi ya huo ushoga wako? Samia ni rais wa nchi lazima papa amheshimu rais Samia. Mambo ya ushoga kawaagiza makasisi wakatoliki tuu hajaagiza makasisi wa madhehebu yasiyo ya katoliki. Hakuna muislam yeyote huagizwa na papa kufuata mafundisho yake hata awe mtoto wa madrasa Papa hana amri wala uwezo wa kumpa amri.
 
12 February 2024
Vatican

Naye rais wa Argentina Mh. Javier Milei naye afanya mazungumzo na Pope Francis ofisini kwake katika meza hiyo hiyo

View: https://m.youtube.com/watch?time_continue=14&v=_lMJ_p3DduY&

RAIS MILEI AOMBA MSAMAHA KWA KUMKASHIFU PAPA
Rais wa Argentina Javier Milei amekutana ana kwa ana na Papa Francis mjini Vatican, ikiwa ni mara ya kwanza kukutana tangu kiongozi huyo wa Libertarian kumkosoa vikali papa huyo.

Rais Milei, mkosoaji wa zamani wa Papa Francis, alihudhuria Misa ya kumtangaza mtakatifu wa kwanza wa kike wa Argentina, Mama Antula, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro.

Milei, ambaye sasa yuko ofisini, alionyesha sauti ya hasira zaidi kwa Papa, ambaye alitupiana matusi kabla ya kugombea urais.


View: https://m.youtube.com/watch?v=623kgdKcxa4
Argentine President Javier Milei has found himself face-to-face with Pope Francis at the Vatican, marking their first encounter since the outspoken libertarian's scathing criticisms of the pontiff.President Milei, a former critic of Pope Francis, attended the canonisation Mass of Argentina's first female saint, Mama Antula, at St. Peter's Basilica.Milei, now in office, displayed a more tempered tone towards the Pope, with whom he had exchanged insults before running for president.
 
Back
Top Bottom