Picha ya vatican: Nini kinaendelea hapa?

Picha ya vatican: Nini kinaendelea hapa?

Wajuzi wa usomaji wa picha na matukio, hapa namuona madame president ameketi pamoja na ndugu Papa ila kuna tukio sijalielewa kwa mkao wa madame president kutokana na uwekaji wa mikono hapo kwenye meza.

View attachment 2901910

Nahisi kama kuna mtu anaapishwa hapa
Ila jamani,kwa hiyo ukishakuwa papa ni mwendo wa gauni hakuna hata suti mara moja moja😀
 
Mama asingeenda nakukutana na huyu jamaa yani anazingua hadi anawaona promo kina Bwana Utam international forum kutudhibiti kwenye mada tukabarikiwe.
Niliitikia wito wako kuacha kuchangia majukwaa mengine ila naona imetumia nguvu kuniita
Mama si anaenda kumsalimia mkubwa wenu alowapa amri ya kupeana baraka
Unangoja nini kama bado wahi upesi ukapokee baraka
 
Mi ntajua papa ana nguvu Rais akirudi bongo na kuwafukuza DPW kama walivomtaka kina Kitima kinyume na hapo roma watakuwa wa kawaida tu
 
Kuna karatasi Au Mkataba chini ya mikono ya mama alafu pembeni kuna peni.

Mama ameusoma akauliza kitu Hapo anapewa maelekezo sasa.Ona vidole vya Papa kuna vitu vinaelekeza.
 
Iyo picha inaonekana na maneno ya papa,"Na hili sio ombi ila ni amri'""
 
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. kama ni diplomasia ya kuifungua nchi, kuitangaza, huyu mama kafanya kuliko kikwete, popote anapoona anaweza kwenda akaitangaza nchi, ameenda.
Ukiwa kama mjuzi hapo ndipo umeelezea picha inavyosomeka?.
 
Back
Top Bottom