Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Unakuta mtaani mashauzi kibaaaao then hapo analialia

Wengi wao wanaangaliavitu na sio mtu
 
Si haba ni warembo hakika,..wakaka embu oeni jamani khaa hivi kwa mfano dadako yuko hapo unajisikiaje moyoni...oeni na nyie Dada zenu wapate neema ya kuolewa lol[emoji23][emoji23][emoji23]...
Waoaji wamebaki na suruali zao tu. Hamna muoaji kabisa miaka hii.
 
Shidaa sana wajiangalie Mara mbili mbili umorden wao ndio kigezo #1 ikichangiwa na Kuangalia series za kichina kihindi kijapan, Philippines, koreaans au kule kwa kina Erduwardo , Yan unakuta mtu kuanzia asubuh hadi jion anaangalia huo upuuxi na by time ananza kuforget kuwa yy ni mbongo na atakuja kuolewa na mbongo afu kwenye mahusiano umletee umbele , Anachapa lapa afu spidi sana...
 

Mkuu

Huyo kwenye avatar yako ni Mkenya Edi Gathegi,hollywood superstar!

Tuache hayo,hawa wadada wasijali watapata mwenzi tu haina shida,wala wasiwaze!
 
Ilipaswa hiyo warsha iitwe "kongamano la wasichana ambao bado hawajaolewa". Kusema ni la "wasioolewa" is as if ndo ishatoka hivyooo. Kuna watu wanaolewa at 40.
ameona akiweka hvyo sijui ndo atawadhalilisha au sijui waonekanaje ili hali apo kuna wenye wachumba na ambao wameshachumbiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…