Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

Wameshindwa ishi kama wanawake, wanataka ishi kisanii na wanataka 50/50. Hakuna mwanaume aliye tayari kukaa na mtu ambae anamuwekea masharti.
Kabisa mkuu, wanawake wengi hawajui kuwa hakuna mwanaume anayetaka mtu wa kuukalia kichwani. Siku hizi wanawake wanajifanya wajuaji sana na ndiyo maana wanaume wanawajaza tu mimba na kuwaacha. Kumpata mwanamke anayejitambua kama "mwanamke" limekuwa ni jambo gumu sana katika kizazi hichi cha DotCom.

Nabii Isaya kuna mahali alisema kuna siku inakuja wanawake saba watamfuata mume mmoja na kumwambia, tutakula chakula chetu wenyewe, na kuvaa nguo zetu wenyewe; lakini tuitwe tu kwa jina lako utuondolee aibu hii.

Mimi naamini huo wakati karibu utafika maana siku wanaume hawaoi na wanawake wanazidi kuzaliwa wengi kuliko wanaume. Miaka kumi au ishirini ijayo, ndoa itakuwa adimu sana kama almasi ya rangi ya bluu!
 
Akiuliza swali usini - tag. Mpe mistari mingine tena akimbizane nayo
 
Umenigusa mkuu, mule mule
 
Wengi wameshindwa kuwapata wanaume wa kuwaoa sababu kuu ni wao kujifanya wanaharakati wa mapenzi hawataki kupika,kufanya kazi ni wababe sasa wanaume hatuoi sura yako bali tabia zako.Hata uwe na sura mtafutano kama mienendo yako ni A utaolewa tu but sura A mienendo zero utabaki kuzalia nyumbani na kujaza mitoto humpati dume wa kukuoa.
Wanawake badilikeni tambueni kuwa kama sura hata mbwa anayo.
 
Lini huyo pastor atafanya 'kongamano la wasiooa'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…