Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kuna π na kuna binocularsKumbee wengi humu hamjui matumizizi ya banokulaaa....kuna kiona mbali na karibu,kwa waziri alivyp fanya nikuweka kiona mvali,kwamba kitu kipo kwaribu unataka ukione kwa umbali,huo upande mwingine nikitu kipo mbali unataka kukiona karibu
Naona wanamchora tu maana kazungukwa na wajeda hapo lazimaMbona kakigeuza?! Kwanini asielekezwe how tu use?!
Still picture haitoshi kuhukumu maana inategemea ilipigwa wakati gani, huenda ndio alikuwa ametoka kukiinua.. Walau video ingefikisha taarifa kamili
Naelewa hiyo, na kila unapoangalia kuna effect tofauti, kwa uelekeo aliotumia anaona objects kwa size gani? Wajuzi pia wameongeza hapa kwa hii ni ya kuangalia upande mmoja tu, hivyo utakuwa umepata jibu lako MkuuWe Jamaa hio binocular ni ya mbugani unaweza kuzitumia kwa mbele na kwa nyuma
Lucas Mwashambwa amevishika kwa moyo, aje aviorodheshe hapaHivi kigezo cha kupewa uwaziri wa ulinzi ni nini?
Walitakiwa kumuelekeza jinsi ya kukitumia, kuwa na PhD haimaanishi unajua kutumia kila kitu.Naona wanamchora tu maana kazungukwa na wajeda hapo lazima
Au wako busy kuangalia na wao
Naona wanetu wamekula Mabakuli kichwani.
Nadhani ndiyo alikuwa anakisogeza mahali pake kwa ajali kamerq ikamnasa.Nyuki wa Mama mpo?
Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani
Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa tofauti na kwa ustadi mkubwa sana. Hata alikiona kweli alichokuwa anakiangalia?
Jambo ukiwa ulijui si unauliza tu, au nimekosea nyuki wa Mama mwenzangu Lucas Mwashambwa?
Narudisha mpira kwenu nyuk
Wivu tu unakusumbuaNyuki wa Mama mpo?

Dah hizi kofia za vita ya UG ndo bado tuna vaa
Utaunganishwa kwenye kesiSio kwamba huwa inatumika mbele na nyuma?
Kwakweli mm ni aibu. Nchi zilizowndelea mawaziri wa ulinzi wanakuwa nanbackground ya vyombo vya ulinzi na usalama, huyu sijui vigezo vilikuwa ni vipiNyuki wa Mama mpo?
Kama mnavyomuona kwenye picha Waziri wa Ulinzi akiwa beneti na Mama wakiangalia kwa makini hicho walichoambiwa ni cha kutazama katika ufunguzi wa zoezi la medani katika kuazimisha miaka 60 ya JWTZ, Msata-Pwani
Kwa utaalamu mkubwa alionao Bi Stergomena Tax akatumia kifaa tofauti na kwa ustadi mkubwa sana. Hata alikiona kweli alichokuwa anakiangalia?
Jambo ukiwa ulijui si unauliza tu, au nimekosea nyuki wa Mama mwenzangu Lucas Mwashambwa?
Narudisha mpira kwenu nyuk
Mna wivu sana wakuda nyie. Hii siyo habari kabisa ya kuandikia thread.Nyuki wa Amefika, katika yote uliyosoma unacomment hiki tu? We ni Nyuki wa Mama mwenzangu kweli? Kachukue somo kwa Mwashambwa urudi tuje tutoane jasho la vidole
humu ndani kuna members na ex members wa vyombo mbali mbali vya ulinzi na usalama. Huongei na watoto au washamba, watu wanajua mhe kazingua hakuna cha kufunika aibu kazinguaaaaaamipiga picha na mtoa hoja wameingizwa chaka vizuri sana...
mambo ya kiusalama hupumbaza sana maadui π
mmezuzuliwa vizuri sana kama adui vile, dahhumu ndani kuna members na ex members wa vyombo mbali mbali vya ulinzi na usalama. Huongei na watoto au washamba, watu wanajua mhe kazingua hakuna cha kufunika aibu kazinguaaaaaa