Picha ya Wiki: Waziri wa Ulinzi akitumia kifaa kitaalamu sana akiwa katika tafrija Msata-Pwani!

Wenda umri pia unachangia, mfano Prof Kabudi na sheria zake leo nikimtungia mtiani hachomoi , lazima nimlambe sup, kama anabisha nimtungie kama atachomoa , wazee wanatakiwa kutulia ila hawataki
May be. Ila naamini hatachomoa kwasababu ya kushindwa kuielewa misamiati mipya ya vijana mfano neno "mtiani"
 
Hapo anaona kope zake za macho zikiwa umbali wa kilometer 3 kutoka alipokaa.
 
Nadhani ndiyo alikuwa anakisogeza mahali pake kwa ajali kamerq ikamnasa.
Namfahamu huyo mama si mshamba wa mambo hayo hata kidogo
Aaaah Mkuu acha kuvunga bana mtu kapoz serious kabisa afu unasema alikuwa anafanyaje? Usitufanye wajinga bana
 
Mna wivu sana wakuda nyie. Hii siyo habari kabisa ya kuandikia thread.
unaniaibisha bana, lete vitu konki niko kwenye mood ya 'kuwasalimia' nyuki wa mama ... wivu upi sasa wakati uzi umemsifia kabisa kashika kifaa KITAALAM?
 
humu ndani kuna members na ex members wa vyombo mbali mbali vya ulinzi na usalama. Huongei na watoto au washamba, watu wanajua mhe kazingua hakuna cha kufunika aibu kazinguaaaaaa
Hapo sasa anafanya JF nzima haiko na watu wenye uelewa
 
Katika hiyo wizara?
Hatuhitaji kusema mengi huyo mama Tax ni boya tu!
 
Hapa sielewi yeye alikuwa anaona nini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot_20240823_222215.png
    580.6 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…