Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kwani hapa tumekuuliz Nyumba unazomiliki?Ninaijua Mwanza vizuri sana; nina nyumba mbili pale pamoja na contacts kibao. CCM sasa hivi haioendwi tena Mwanza kama zile enzi za Magufuli, tena inachukiwa sana kutokana na kero mbalimbali zilizoongeza siku za hivi karibuni, lakini chuki hiyo dhidi ya CCM bado haijajitokeza kuwa ushindi wa CHADEMA. Sana sana ni kwamba inawezekana watu wengi hawatapiga kura, jambo ambalo halitaisaida CHADEMA
Usikimbile kukereaka na umiliki wa nyumba, ninachokuonyesha ni kuwa ninaijua mwanza kwa karibu sana hata kama ninaishi nje ya nchi. Nina contact za karibu sana ambazo naongea nazo mara kwa mara sana na kujua yanayoendelea hapo Mwanza.Kwani hapa tumekuuliz Nyumba unazomiliki?
We jamaa vipiππ
Huwajui chadema wewe, japo sio wote. Kwanza nawashangaa baadhi ya waislamu wenzangu wanafanya kazi na watu wadini, wabaguzi na wakabila. Ni heri uwe CUF au ACT wazalendo ila sio chama kinachotoka kaskazini. Ni U.T.I iliyochangamka.Kuna watu wadini na wakabila kuzidi sisiemu?
Kama chadema ni UTI CCM watakuwa covid,au kipindupindu wanatutesa kila mahali wanakombaa mboga wao hawataki kuona mtu anainuka wewe unaongea kwa sababu unanufaika na mfumo wa kinyonyaji lakini ukumbuke Mungu yupo na ipo siku atakuuliza na inawezekana wewe ni mzee wa kanisa lakini una roho nyeusi kama mkaa.Huwajui chadema wewe, japo sio wote. Kwanza nawashangaa baadhi ya waislamu wenzangu wanafanya kazi na watu wadini, wabaguzi na wakabila. Ni heri uwe CUF au ACT wazalendo ila sio chama kinachotoka kaskazini. Ni U.T.I iliyochangamka.
Kanda ya ziwa msijisumbue
Majira na nyakati za kuiba kura zimepitaNamuomba Mhe. Rais asome alama za nyakati ili CCM yetu isije ikaangukia pua. Naipenda CCM.
Chai ndio Kitu gani?πΌMkuu umekunywa kweli chai?
Nakazia.Jasiri Tundu Antipas Lisu
Nakuona katibu wa BanyetaChai ndio Kitu gani?[emoji209]
Wewe ulikuwa unachungulia tu dirishani na hilo likitambi la kufoji malipo hewa [emoji23][emoji23]
pole sana una akil mgandoKuna mzee mmoja alinihadithia na kusema, chadema walipita mbele ya nyumba yake kulikua na watoto wake nje ya nyumba, unajua kilichowakuta!! Waliambiwa subirini chadema ishinde urais nyie waarabu mtaondoka hii nchi, niliumia sana kuona watanzania wenzangu wamefikia kuongea huo upuuzi kwa watu weupe.
Niseme tu, pamoja na mapungufu ya ccm chama kongwe acha waendelee kutuongoza, na huku kanda ya ziwa wasitegemee kabisa kura zetu hao wanakaskazini. Wabaki huko huko uchagani, kanda ya ziwa tupo na ccm.
Kweli wewe punguani aiseeNi wazi CHADEMA wameishiwa mawazo hilo hapo chini ni moja ya mabango ya jana kwenye maandamano ya Mwanza.
Badala mkalime mnashinda barabarani sasa nani awalimie chakula. Imagine leo Tanzania yote is green halafu kuna wapumbavu eti wanatembea 16 kilomita kutaka Serikali ipunguze bei ya chakula. Hizo nguvu si wangetumia kulima wauze hicho chakula kwa bei ya chini wanayotaka.
Bei zinapangwa na forces of demand and supply. You can't afford food, kalime au ufe View attachment 2905691.
Aliyefanya ule unyama alaaniwe yeye na kizazi chake chote. Hata mnyama hafanyiwi vile, anajisikiaje kumtia Lissu kilema kikatili vile?Haya ndio maneno ya Jasiri Tundu Antipas Lisu baada ya kutembea km 16 " Miguu Imechoka lakini Moyo wangu ni Mweupe"
Source: Mwanzo TV Plus
Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Lisu ππ
Punguani ni wewe mtoto wa malaya ukiyezaliwa bila kujuwa baba yako halisi ni nani. Unajuwa matusi tu uliyokariri kutoka kwa mama yakoKweli wewe punguani aisee
Mjadala kuhusu nini Mkuu? In Nutshell
Makalio yamvimbe hadi yapasukeAliyefanya ule unyama alaaniwe yeye na kizazi chake chote. Hata mnyama hafanyiwi vile, anajisikiaje kumtia Lissu kilema kikatili vile?