Picha yangu ya Siku 2024

WIZARA ya utalii, inabidi itoe TENDER ( CONTENT CREATOR), kutumia mawe kupublish, kumbukumbu mbalimbali...kwa kutumia michoro na picha kwenye hayo mawe .... "historical sites" hii itasaidia JAMII ijayo kujifunza, lakini pia italeta huruma MTU yoyote kuharibu mazingira yenye message. Mfano JIWE linaandikwa wimbo wa TAIFA, JIWE linaandikwa mazao yapatikanayo mkoan huska, JIWE linachora ajari zilizwahi tokea mkoan huo na KUUA Sana, JIWE linachora wanyama woote wapatokanao mkoa huo, JIWE linaandikwa mitishamba muhimu yakutumia inayopatikana eneo Hilo....nk nk....JIWE linaandikwa kiuongozi aliyetetea JAMII hiyo, na kiongoz aliye haribu elimu kama Yule aliyefuta UMITASHUMITA...nk ..
 

Attachments

  • FB_IMG_1710736967262.jpg
    214.1 KB · Views: 3
Hii Idea ni nzuri sana sana, tuombe MUNGU Yule Jamaa asiyaandike mambo ya SIASA tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…