Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hii picha nimepiga Leo asubuhi huku barabarani. Hakika hii Nchi nzuri kabisa. Kuna yule Jamaa aliyechora mawe Nchi nzima, sijui yuko wapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wapi hapo?Hii picha nimepiga Leo asubuhi huku barabarani. Hakika hii Nchi nzuri kabisa. Kuna yule Jamaa aliyechora mawe Nchi nzima, sijui yuko wapi.View attachment 2942326
Kati ya Dodoma na Manyoni! Sijui jina la kijiji BossNi wapi hapo?
Niliju tu itakua ni hayo maeneo.. Maana ndio kuna rock formation ya hivyoKati ya Dodoma na Manyoni! Sijui jina la kijiji Boss
Hii Idea ni nzuri sana sana, tuombe MUNGU Yule Jamaa asiyaandike mambo ya SIASA tena.WIZARA ya utalii, inabidi itoe TENDER ( CONTENT CREATOR), kutumia mawe kupublish, kumbukumbu mbalimbali...kwa kutumia michoro na picha kwenye hayo mawe .... "historical sites" hii itasaidia JAMII ijayo kujifunza, lakini pia italeta huruma MTU yoyote kuharibu mazingira yenye message. Mfano JIWE linaandikwa wimbo wa TAIFA, JIWE linaandikwa mazao yapatikanayo mkoan huska, JIWE linachora ajari zilizwahi tokea mkoan huo na KUUA Sana, JIWE linachora wanyama woote wapatokanao mkoa huo, JIWE linaandikwa mitishamba muhimu yakutumia inayopatikana eneo Hilo....nk nk....JIWE linaandikwa kiuongozi aliyetetea JAMII hiyo, na kiongoz aliye haribu elimu kama Yule aliyefuta UMITASHUMITA...nk ..
Anha sawa...weekend hii lakiniKati ya Dodoma na Manyoni! Sijui jina la kijiji Boss
This morning dearAnha sawa...weekend hii lakini
Kwa kweliHii nchi ni nzuri sana mkuu ila mafisadi yanaiharibu.
Tukipata viongozi wazalendo , tutafika mbali sana.
NaamSi Njia Kwa Kuelekea Singida Kweli Hiyo?
Kwa sababu ya hayo mawe au?Hii nchi ni nzuri sana mkuu ila mafisadi yanaiharibu.
Tukipata viongozi wazalendo , tutafika mbali sana.
Yeah ndo nakukumbusha kuwa Hii ni weekendThis morning dear
Kwasababu ya CCMKwa sababu ya hayo mawe au?
Naam naam Naaaaaaaaaaam! Weekend ya salary! Wale wako kwa payroll Leo HAKUNA anayepokea simu Zangu. Kuwa hustler ni changamoto sana hahahaha kiddingYeah ndo nakukumbusha kuwa Hii ni weekend