tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Bandari ya DPW au bandari gani hii mkuu?Hii picha nimepiga Leo asubuhi huku barabarani. Hakika hii Nchi nzuri kabisa. Kuna yule Jamaa aliyechora mawe Nchi nzima, sijui yuko wapi.View attachment 2942326