Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Tundu Lissu ni mtu aliyetumwa na Mungu kuikomboa Tanzania. Hiyo ndo tafsiri rahisi. Hatuwezi muita kristo.Kuna Yesu Kristo halafu kuna Lissu Kristo sio?
Unamfahamu huyo jamaa hapo hadi useme sio mfupi?Shida ni kuwa zakayo alikuwa mfupi, huyo jamaa sio mfupi
🙂
Nani kilema?ukimuona kilema juu ya mti ujue kapandishwa.
Hata wale wahuni karibuni wataacha uhuni wao na watajumuika naye.Akiwa njiani kwenda Namtumbo katika kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu Tundu Lissu alisimamishwa na umati wa Wananchi uliotaka kumsikia.
Wakati amesimamishwa eneo hilo Mwananchi mmoja aliyekuwa na hamu ya kumuona na kumsikiliza Lissu alipanda mti wa mnazi ili aweze kumuona Lissu. Picha hii hapa chini👇
View attachment 3297074
Habari hii ya leo inafanana sana na habari inayopatikana katika kitabu cha Luka Mtakatifu 19: 1-10 inayoelezea Yesu akiwa safarini alipoingia mji wa Jeriko ambapo kundi la watu lilimsimamisha kutaka kuongea nae. Akiwa anaongea na watu hao Mtu mmoja jina lake Zakayo alipanda mtini wa Mkuyu (Sycamore Fig Tree) ili amuone Yesu. 👇
View attachment 3297079
Kwa macho ya kawaida unaweza ukadharau haya matukio mawili ila kwa binadamu waliojaliwa macho ya Kiroho, tukio hili ni unabii mkubwa sana juu ya Tundu Lissu.
Sote tunafahamu kuwa Bwana Yesu ni alama ya ukombozi wa mwanadamu dhidi ya dhambi hivyo kwa sisi tuliojaliwa macho ya kiroho tukio hili ni ishara kuwa Tundu Lissu ni mtu aliyetumwa na Mungu kwa Watanzania ili kuwakomboa kutoka vifungo, utapeli, mateso na ufedhuli wa CCM.
Muwe na usiku mwema.
Lord denning,
Ukonga
Habari za Mungu ni geresha tu. Ongea vitu secular vinavyothibitishika.Tundu Lissu ni mtu aliyetumwa na Mungu kuikomboa Tanzania. Hiyo ndo tafsiri raisi. Hatuwezi muita kristo.
Huyu mtu ni mpakwa mafuta wa Mungu.Hata wale wahuni karibuni wataacha uhuni wao na watajumuika naye.
Genta atakuambia wamepata kisokolokwinyoSawa Sawa Sawa
Chawa Wamepata Taharuki
Amini unachoamini bwashee. Ila hii ni kweli na hakika.Habari za Mungu ni geresha tu. Ongea vitu secular vinavyothibitishika.
Hadithi za Mungu ni danganya toto kula kunde nyama mbichi.
Umempima saa ngapi? In Lissu's voice.Shida ni kuwa zakayo alikuwa mfupi, huyo jamaa sio mfupi
🙂
Nawe kwani umeguswa na sekeseke linalowatikisa kijani?Habari za Mungu ni geresha tu. Ongea vitu secular vinavyothibitishika.
Hadithi za Mungu ni danganya toto kula kunde nyama mbichi.
Sitaki kuamini, nataka uthibitisho.Amini unachoamini bwashee. Ila hii ni kweli na hakika.
Hayupo..Aya Toka kwenye Uzi...Sitaki kuamini, nataka uthibitisho.
Thibitisha Mungu yupo.