Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Mimi sipo Tanzania nilishahama tangu enzi za urais wa Mkapa, hata likizo naenda Turks and Caicos, sekeseke za kijani zinanigusa vipi?Nawe kwani umeguswa na sekeseke linalowatikisa kijani?
Mimi sipo Tanzania nilishahama tangu enzi za urais wa Mkapa, hata likizo naenda Turks and Caicos, sekeseke za kijani zinanigusa vipi?Nawe kwani umeguswa na sekeseke linalowatikisa kijani?
Huna nguvu ya kunifukuza.Hayupo..Aya Toka kwenye Uzi...
Uthibitisho ni kuwa huna ujanja wa kutokufa,hujui siku wala saa na utakako enda ni giza totoro ndani ya akili na mtazamo wako.Sitaki kuamini, nataka uthibitisho.
Thibitisha Mungu yupo.
Logical non sequitur fallacy.Uthibitisho ni kuwa huna ujanja wa kutokufa,hujui siku wala saa na utakako enda ni giza totoro ndani ya akili na mtazamo wako.
Basi angalau unga mkono kampeni ya tonetoni ambayo ni ya ukombozi kwa mara ya pili kutoka kwa ukoloni wa ngozi nyeusi.Mimi sipo Tanzania nilishahama tangu enzi za urais wa Mkapa, hata likizo naenda Turks and Caicos, sekeseke za kijani zinanigusa vipi
Kuna watu wabishiwabishi mpaka waoneshwe nyaraka(in Heche's voice)Umempima saa ngapi? In Lissu's voice.
Ukisha timiza jukimu alilokupa kwa maisha,yeye anajua kama utakuwanalo lingine na wapi na kwa namna gani.Logical non sequitur fallacy.
Mtu kufa na kutokujua atakufa lini ni uthibitisho Mungu hayupo, si uthibitisho Mungu yupo.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, hata kifo kisingekuwapo.
Kuwapo kwa kifo ni uthibitisho Mungu hayupo.
Hapana.Kuna Yesu Kristo halafu kuna Lissu Kristo sio?
Unajuaje nakubaliana nayo uniambie niunge mkono tu?Basi
Basi angalau unga mkono kampeni ya tonetoni ambayo ni ya ukombozi kwa mara ya pili kutoka kwa ukoloni wa ngozi nyeusi.
Hujathibitisha Mungu yupo.Ukisha timiza jukimu alilokupa kwa maisha,yeye anajua kama utakuwanalo lingine na wapi na kwa namna gani.
Baada Ya Mtume na Yesu, anyefuatia ni ma...,Akiwa njiani kwenda Namtumbo katika kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu Tundu Lissu alisimamishwa na umati wa Wananchi uliotaka kumsikia.
Wakati amesimamishwa eneo hilo Mwananchi mmoja aliyekuwa na hamu ya kumuona na kumsikiliza Lissu alipanda mti wa mnazi ili aweze kumuona Lissu. Picha hii hapa chini👇
View attachment 3297074
Habari hii ya leo inafanana sana na habari inayopatikana katika kitabu cha Luka Mtakatifu 19: 1-10 inayoelezea Yesu akiwa safarini alipoingia mji wa Jeriko ambapo kundi la watu lilimsimamisha kutaka kuongea nae. Akiwa anaongea na watu hao Mtu mmoja jina lake Zakayo alipanda mtini wa Mkuyu (Sycamore Fig Tree) ili amuone Yesu. 👇
View attachment 3297079
Kwa macho ya kawaida unaweza ukadharau haya matukio mawili ila kwa binadamu waliojaliwa macho ya Kiroho, tukio hili ni unabii mkubwa sana juu ya Tundu Lissu na Tanzania.
Sote tunafahamu kuwa Bwana Yesu ni alama ya ukombozi wa mwanadamu dhidi ya dhambi hivyo kwa sisi tuliojaliwa macho ya kiroho tukio hili ni ishara kuwa Tundu Lissu ni mtu aliyetumwa na Mungu kwa Watanzania ili kuwakomboa kutoka vifungo, utapeli, mateso na ufedhuli wa CCM.
Muwe na usiku mwema.
Lord denning,
Ukonga
Siku si nyingi. Wameshaanza kukataana.Hata wale wahuni karibuni wataacha uhuni wao na watajumuika naye.
Wapumbavu mnakufuru sana aiseeAkiwa njiani kwenda Namtumbo katika kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu Tundu Lissu alisimamishwa na umati wa Wananchi uliotaka kumsikia.
Wakati amesimamishwa eneo hilo Mwananchi mmoja aliyekuwa na hamu ya kumuona na kumsikiliza Lissu alipanda mti wa mnazi ili aweze kumuona Lissu. Picha hii hapa chini👇
View attachment 3297074
Habari hii ya leo inafanana sana na habari inayopatikana katika kitabu cha Luka Mtakatifu 19: 1-10 inayoelezea Yesu akiwa safarini alipoingia mji wa Jeriko ambapo kundi la watu lilimsimamisha kutaka kuongea nae. Akiwa anaongea na watu hao Mtu mmoja jina lake Zakayo alipanda mtini wa Mkuyu (Sycamore Fig Tree) ili amuone Yesu. 👇
View attachment 3297079
Kwa macho ya kawaida unaweza ukadharau haya matukio mawili ila kwa binadamu waliojaliwa macho ya Kiroho, tukio hili ni unabii mkubwa sana juu ya Tundu Lissu na Tanzania.
Sote tunafahamu kuwa Bwana Yesu ni alama ya ukombozi wa mwanadamu dhidi ya dhambi hivyo kwa sisi tuliojaliwa macho ya kiroho tukio hili ni ishara kuwa Tundu Lissu ni mtu aliyetumwa na Mungu kwa Watanzania ili kuwakomboa kutoka vifungo, utapeli, mateso na ufedhuli wa CCM.
Muwe na usiku mwema.
Lord denning,
Ukonga
Sasa ndugu Kiranga swali la kizushi kidogo ila la kujenga uelewa kama sii wangu pengine na wenyekuhitaji kujifunza.Umeonyesha kutokuamini uwepo wa Mungu.Je hii hali imeanza lini kwako na yapi mazingira yake.Je unakuwa na hii imani wakati wote au kwa msimu?Na je wewe ni mnywaji wa kilevi chochote na je imani hiyo haibadiliki kulingana na hali na wakati?.Ama ni mvutaji na kama ni mvutaji ni aina ipi ya uvutaji?Je uliwahi kuwa na imani tofauti na ya sasa?Mimi sipo Tanzania nilishahama tangu enzi za urais wa Mkapa, hata likizo naenda Turks and Caicos, sekeseke za kijani zinanigusa vipi?
Anzisha uzi wangu wa maswali haya, huu uzi si kwa ajili yangu.Sasa ndugu Kiranga swali la kizushi kidogo ila la kujenga uelewa kama sii wangu pengine na wenyekuhitaji kujifunza.Umeonyesha kutokuamini uwepo wa Mungu.Je hii hali imeanza lini kwako na yapi mazingira yake.Je unakuwa na hii imani wakati wote au kwa msimu?Na je wewe ni mnywaji wa kilevi chochote na je imani hiyo haibadiliki kulingana na hali na wakati?.Ama ni mvutaji na kama ni mvutaji ni aina ipi ya uvutaji?Je uliwahi kuwa na imani tofauti na ya sasa?
Nani mpumbavu?Wapumbavu mnakufuru sana aisee
Ndio maana domokaya is crazy
Ni sawaKuna Yesu Kristo halafu kuna Lissu Kristo sio?