Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #41
Hapana.Baada Ya Mtume na Yesu, anyefuatia ni ma...,
Huyu hajamfikia Yesu ila ni mpakwa mafuta wa Mungu anayefanya kazi ya Yesu kwa Watanzania.
Hapana.Baada Ya Mtume na Yesu, anyefuatia ni ma...,
Hapa Jesus alipiga jezi ya Brazil?Akiwa njiani kwenda Namtumbo katika kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu Tundu Lissu alisimamishwa na umati wa Wananchi uliotaka kumsikia.
Wakati amesimamishwa eneo hilo Mwananchi mmoja aliyekuwa na hamu ya kumuona na kumsikiliza Lissu alipanda mti wa mnazi ili aweze kumuona Lissu. Picha hii hapa chini👇
View attachment 3297074
Habari hii ya leo inafanana sana na habari inayopatikana katika kitabu cha Luka Mtakatifu 19: 1-10 inayoelezea Yesu akiwa safarini alipoingia mji wa Jeriko ambapo kundi la watu lilimsimamisha kutaka kuongea nae. Akiwa anaongea na watu hao Mtu mmoja jina lake Zakayo alipanda mtini wa Mkuyu (Sycamore Fig Tree) ili amuone Yesu. 👇
View attachment 3297079
Kwa macho ya kawaida unaweza ukadharau haya matukio mawili ila kwa binadamu waliojaliwa macho ya Kiroho, tukio hili ni unabii mkubwa sana juu ya Tundu Lissu na Tanzania.
Sote tunafahamu kuwa Bwana Yesu ni alama ya ukombozi wa mwanadamu dhidi ya dhambi hivyo kwa sisi tuliojaliwa macho ya kiroho tukio hili ni ishara kuwa Tundu Lissu ni mtu aliyetumwa na Mungu kwa Watanzania ili kuwakomboa kutoka vifungo, utapeli, mateso na ufedhuli wa CCM.
Muwe na usiku mwema.
Lord denning,
Ukonga
Hakika, naunga mkono hojaAkiwa njiani kwenda Namtumbo katika kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu Tundu Lissu alisimamishwa na umati wa Wananchi uliotaka kumsikia.
Wakati amesimamishwa eneo hilo Mwananchi mmoja aliyekuwa na hamu ya kumuona na kumsikiliza Lissu alipanda mti wa mnazi ili aweze kumuona Lissu. Picha hii hapa chini👇
View attachment 3297074
Habari hii ya leo inafanana sana na habari inayopatikana katika kitabu cha Luka Mtakatifu 19: 1-10 inayoelezea Yesu akiwa safarini alipoingia mji wa Jeriko ambapo kundi la watu lilimsimamisha kutaka kuongea nae. Akiwa anaongea na watu hao Mtu mmoja jina lake Zakayo alipanda mtini wa Mkuyu (Sycamore Fig Tree) ili amuone Yesu. 👇
View attachment 3297079
Kwa macho ya kawaida unaweza ukadharau haya matukio mawili ila kwa binadamu waliojaliwa macho ya Kiroho, tukio hili ni unabii mkubwa sana juu ya Tundu Lissu na Tanzania.
Sote tunafahamu kuwa Bwana Yesu ni alama ya ukombozi wa mwanadamu dhidi ya dhambi hivyo kwa sisi tuliojaliwa macho ya kiroho tukio hili ni ishara kuwa Tundu Lissu ni mtu aliyetumwa na Mungu kwa Watanzania ili kuwakomboa kutoka vifungo, utapeli, mateso na ufedhuli wa CCM.
Muwe na usiku mwema.
Lord denning,
Ukonga
Umeona nembo ya GSM hapo?Hapa Jesus alipiga jezi ya Brazil?
Hebu jiulize wapi alitokea binadamu akapigwa risasi kumi na sita mwilini na aka pona na kuendelea na kazi ya kuikomboa nchi ? Lissu ni mpango wa Mungu!Tundu Lissu ni mtu aliyetumwa na Mungu kuikomboa Tanzania. Hiyo ndo tafsiri rahisi. Hatuwezi muita kristo.
Kuna Yesu Kristo halafu kuna Lissu Kristo sio?
Kamlinganisha na Yesu Kristo, kinabii, unakataa hilo?Hayo unayatengeneza wewe. Mleta mada hajasema hivyo. Mleta mada hajasema kuwa Lisu ni Kristo.
Kufuru hii ndiyo inayoirahisishia kazi ccm. Wazungu ndiyo Mungu huko kwenu?!!! Pumbaaavu we!Tundu Lissu ni mtu aliyetumwa na Mungu kuikomboa Tanzania. Hiyo ndo tafsiri rahisi. Hatuwezi muita kristo.
Itoshe tu kusema chadema, hasa hawa wa jf, hawana akili.....kama walikuwa nazo huko mwanzo basi zimeshatoka. Hivi mna nini' mpaka Sasa Cha kumtisha Samia nyie wangese?!!!!! Halafu amewapotezea zamaaaani, hata Hana habari nanyi anawaona mazuzu tu na ana mambo mengi ya kufanya.Hangaya akiona hivyo,mavi yanagonga pichu.
We jamaa una kichaa!Akiwa njiani kwenda Namtumbo katika kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu Tundu Lissu alisimamishwa na umati wa Wananchi uliotaka kumsikia.
Wakati amesimamishwa eneo hilo Mwananchi mmoja aliyekuwa na hamu ya kumuona na kumsikiliza Lissu alipanda mti wa mnazi ili aweze kumuona Lissu. Picha hii hapa chini👇
View attachment 3297074
Habari hii ya leo inafanana sana na habari inayopatikana katika kitabu cha Luka Mtakatifu 19: 1-10 inayoelezea Yesu akiwa safarini alipoingia mji wa Jeriko ambapo kundi la watu lilimsimamisha kutaka kuongea nae. Akiwa anaongea na watu hao Mtu mmoja jina lake Zakayo alipanda mti wa Mkuyu (Sycamore Fig Tree) ili amuone Yesu. 👇
View attachment 3297079
Kwa macho ya kawaida unaweza ukadharau haya matukio mawili ila kwa binadamu waliojaliwa macho ya Kiroho, tukio hili ni unabii mkubwa sana juu ya Tundu Lissu na Tanzania.
Sote tunafahamu kuwa Bwana Yesu ni alama ya ukombozi wa mwanadamu dhidi ya dhambi hivyo kwa sisi tuliojaliwa macho ya kiroho tukio hili ni ishara kuwa Tundu Lissu ni mtu aliyetumwa na Mungu kwa Watanzania ili kuwakomboa kutoka vifungo, utapeli, mateso na ufedhuli wa CCM.
Muwe na usiku mwema.
Lord denning,
Ukonga
Hata wasiposikia. Watalazimishwa kusikiaMwenye masikio na asikie
Asante sanaHakika, naunga mkono hoja
ukimuona kilema juu ya mti ujue kapandishwa.
Akiwa njiani kwenda Namtumbo katika kata ya Mangaka jimbo la Nanyumbu Tundu Lissu alisimamishwa na umati wa Wananchi uliotaka kumsikia.
Wakati amesimamishwa eneo hilo Mwananchi mmoja aliyekuwa na hamu ya kumuona na kumsikiliza Lissu alipanda mti wa mnazi ili aweze kumuona Lissu. Picha hii hapa chini👇
View attachment 3297074
Habari hii ya leo inafanana sana na habari inayopatikana kwenye Biblia (Agano Jipya) katika kitabu cha Luka Mtakatifu 19: 1-10 inayoelezea Yesu akiwa safarini alipoingia mji wa Jeriko ambapo kundi la watu lilimsimamisha kutaka kuongea nae. Akiwa anaongea na watu hao Mtu mmoja jina lake Zakayo alipanda mti wa Mkuyu (Sycamore Fig Tree) ili amuone Yesu. 👇
View attachment 3297079
Kwa macho ya kawaida unaweza ukadharau haya matukio mawili ila kwa binadamu waliojaliwa macho ya Kiroho, tukio hili ni unabii mkubwa sana juu ya Tundu Lissu na Tanzania.
Sote tunafahamu kuwa Bwana Yesu ni alama ya ukombozi wa mwanadamu dhidi ya dhambi hivyo kwa sisi tuliojaliwa macho ya kiroho tukio hili ni ishara kuwa Tundu Lissu ni mtu aliyetumwa na Mungu kwa Watanzania ili kuwakomboa kutoka vifungo, utapeli, mateso na ufedhuli wa CCM.
Muwe na usiku mwema.
Lord denning,
Ukonga
Kuna mambo lazima yatokee ili unabii utumieKwa Nini anapanda kwenye mti kumuona Lisu. Si a search to Google?
Hapana umemfananisha tu. Huyu ni mwananchi wa kawaida tu.Huyo Jamaa Juu ya Mti mbona ni kama yule commando muuza madafu ikuluu....
Bible imeandikwa kwa codes tupu!Shida ni kuwa zakayo alikuwa mfupi, huyo jamaa sio mfupi
🙂