Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #61
Mueleweshe mueleweshe.Bible imeandikwa kwa codes tupu!
Hata hilo neno mfupi liliotumika hapo, yaweza kuwa ni short sited, yaani mfupi wa uono, au mfupi wa imani.
Mueleweshe mueleweshe.Bible imeandikwa kwa codes tupu!
Hata hilo neno mfupi liliotumika hapo, yaweza kuwa ni short sited, yaani mfupi wa uono, au mfupi wa imani.
Swadaktabwana kasema
Halafu basi simba na yanga nazo ni club kristo maana nazo hupandiwa miti huko mikoani.Kuna Yesu Kristo halafu kuna Lissu Kristo sio?
Kuna mchezaji wa Simba au Yanga aliyewahi kupigwa risasi 17 alafu hakufa?Halafu basi simba na yanga nazo ni club kristo maana nazo hupandiwa miti huko mikoani.
Hazijaanzishiwa thread ya unabii.Halafu basi simba na yanga nazo ni club kristo maana nazo hupandiwa miti huko mikoani.
Kuna mambo lazima yatokee ili unabii utumie
🤝Asante sana