Picha yenye unabii mzito kwa Tanzania

Nawe kwani umeguswa na sekeseke linalowatikisa kijani?
Mimi sipo Tanzania nilishahama tangu enzi za urais wa Mkapa, hata likizo naenda Turks and Caicos, sekeseke za kijani zinanigusa vipi?
 
Sitaki kuamini, nataka uthibitisho.

Thibitisha Mungu yupo.
Uthibitisho ni kuwa huna ujanja wa kutokufa,hujui siku wala saa na utakako enda ni giza totoro ndani ya akili na mtazamo wako.
 
Uthibitisho ni kuwa huna ujanja wa kutokufa,hujui siku wala saa na utakako enda ni giza totoro ndani ya akili na mtazamo wako.
Logical non sequitur fallacy.

Mtu kufa na kutokujua atakufa lini ni uthibitisho Mungu hayupo, si uthibitisho Mungu yupo.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, hata kifo kisingekuwapo.

Kuwapo kwa kifo ni uthibitisho Mungu hayupo.
 
Basi
Mimi sipo Tanzania nilishahama tangu enzi za urais wa Mkapa, hata likizo naenda Turks and Caicos, sekeseke za kijani zinanigusa vipi
Basi angalau unga mkono kampeni ya tonetoni ambayo ni ya ukombozi kwa mara ya pili kutoka kwa ukoloni wa ngozi nyeusi.
 
Hangaya akiona hivyo,mavi yanagonga pichu.
 
Ukisha timiza jukimu alilokupa kwa maisha,yeye anajua kama utakuwanalo lingine na wapi na kwa namna gani.
 
Basi

Basi angalau unga mkono kampeni ya tonetoni ambayo ni ya ukombozi kwa mara ya pili kutoka kwa ukoloni wa ngozi nyeusi.
Unajuaje nakubaliana nayo uniambie niunge mkono tu?
 
Baada Ya Mtume na Yesu, anyefuatia ni ma...,
 
Wapumbavu mnakufuru sana aisee

Ndio maana domokaya is crazy
 
Mimi sipo Tanzania nilishahama tangu enzi za urais wa Mkapa, hata likizo naenda Turks and Caicos, sekeseke za kijani zinanigusa vipi?
Sasa ndugu Kiranga swali la kizushi kidogo ila la kujenga uelewa kama sii wangu pengine na wenyekuhitaji kujifunza.Umeonyesha kutokuamini uwepo wa Mungu.Je hii hali imeanza lini kwako na yapi mazingira yake.Je unakuwa na hii imani wakati wote au kwa msimu?Na je wewe ni mnywaji wa kilevi chochote na je imani hiyo haibadiliki kulingana na hali na wakati?.Ama ni mvutaji na kama ni mvutaji ni aina ipi ya uvutaji?Je uliwahi kuwa na imani tofauti na ya sasa?
 
Anzisha uzi wangu wa maswali haya, huu uzi si kwa ajili yangu.

Kuutoa uzi maalum wa Tundu Lissu na kuufanya wa Kiranga si jambo sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…