Picha yenye unabii mzito kwa Tanzania

Hapa Jesus alipiga jezi ya Brazil?
 
Hakika, naunga mkono hoja
 
Tundu Lissu ni mtu aliyetumwa na Mungu kuikomboa Tanzania. Hiyo ndo tafsiri rahisi. Hatuwezi muita kristo.
Hebu jiulize wapi alitokea binadamu akapigwa risasi kumi na sita mwilini na aka pona na kuendelea na kazi ya kuikomboa nchi ? Lissu ni mpango wa Mungu!
 
Hangaya akiona hivyo,mavi yanagonga pichu.
Itoshe tu kusema chadema, hasa hawa wa jf, hawana akili.....kama walikuwa nazo huko mwanzo basi zimeshatoka. Hivi mna nini' mpaka Sasa Cha kumtisha Samia nyie wangese?!!!!! Halafu amewapotezea zamaaaani, hata Hana habari nanyi anawaona mazuzu tu na ana mambo mengi ya kufanya.
 
We jamaa una kichaa!
 

Kwa Nini anapanda kwenye mti kumuona Lisu. Si a search to Google?
 
Huyo Jamaa Juu ya Mti mbona ni kama yule commando muuza madafu ikuluu....
 
Shida ni kuwa zakayo alikuwa mfupi, huyo jamaa sio mfupi
🙂
Bible imeandikwa kwa codes tupu!
Hata hilo neno mfupi liliotumika hapo, yaweza kuwa ni short sited, yaani mfupi wa uono, au mfupi wa imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…