Picha za Abdul Nondo akiwa hospitali akiendelea na matibabu

Picha za Abdul Nondo akiwa hospitali akiendelea na matibabu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Taarifa ya Chama cha ACT Wazalendo imeeleza "Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aghakhan, Dar es Salaam kutokana na kuumizwa kwa kipigo na watu waliomteka."
WhatsApp Image 2024-12-03 at 08.58.50_32f237a4.jpg

WhatsApp Image 2024-12-03 at 08.58.51_58be822c.jpg

WhatsApp Image 2024-12-03 at 08.58.50_e170c3e3.jpg

Pia soma
~
Taarifa ya kutekwa kwa Abdul Nondo kutoka ACT Wazalendo
~ Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo
cha Mabasi cha Magufuli
 
Yule dada wa chadema aliyepakizwa kwenye boda boda huku kazimia picha zake zinafanana na hizi tuzipe jina first blood na second blood upinzani ukiwawezesha wanaweza mama wape eneo huko bagamoyo filamu zao zitauza zaidi ya royal tour!
Na Mzee kibao ilikuwa episode ya ngapi?
Tundu lisu pale Area D ilikuwa episode ya ngapi?
Waliouwawa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ni episode ya ngapi?

Lakini muhimu kuliko yote siku yakikukuta na wewe itakuwa episode ya ngapi????
 
Taarifa ya Chama cha ACT Wazalendo imeeleza "Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aghakhan, Dar es Salaam kutokana na kuumizwa kwa kipigo na watu waliomteka."

Pia soma
~
Taarifa ya kutekwa kwa Abdul Nondo kutoka ACT Wazalendo
~ Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo
cha Mabasi cha Magufuli
Hii hali haikubaliki kabisa.hii si tena Tanzania tunayoijua ya akina nyerere na mkapa.hii nchi imekamatwa na mashetani wachache ambao wakoo juu ya sheria
 
Back
Top Bottom