Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo nchi unazoona hazina amani usifikiri zilizuka tu zikawa hivyo.lazima walianza ujinga kidogo kidogo hadi ukaenea nchi nzima.ata sisi huu ujinga hauna muda mrefu historia yetu itabadilika.Tusijidanganye kua yawenzetu hayawezi kutukuta.Ukilinganisha Tanzania , Somalia, Syria, Pakistan na Afghanistan, Egypt nk
Bado Tanzania kuna amani tena sana. Wanaojua amani ya Tanzania ni wale ambao wamewahi kuishi nchi zenye migogoro.
Hapo jirani zetu Kenya tu watu hata hawajui kusalimiana.
Marafuku kumuuliza habari za asubuhi mtu ambaye hamjuani kwa kuwa habari zake hazikuhusu.
Wakenya wanapokuja Tanzania wakaona watu wa makabila, dini na vyama tafauti vya siasa wamekaa wanakunywa kahawa pamoja wao ndio wanaoona kuwa Tanzania kuna neema ya amani.
Kuna Rais wa nchi moja .alisema KIFO NI KIFO mtu wa maana kabsa yulee
wana Shetani na KIFO dam dam🤣🤣🤣🤣
Naona Bwana Shetani unashangilia KIFO🤣🤣🤣🤣Kuna Rais wa nchi moja .alisema KIFO NI KIFO mtu wa maana kabsa yulee
Kuna wapumbavu hapa, walisema ni maigizo.Taarifa ya Chama cha ACT Wazalendo imeeleza "Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aghakhan, Dar es Salaam kutokana na kuumizwa kwa kipigo na watu waliomteka."
Pia soma
~ Taarifa ya kutekwa kwa Abdul Nondo kutoka ACT Wazalendo
~ Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo
cha Mabasi cha Magufuli
Swali zuri. Sidhani kuwa kuna jibu/majibu mepesi mepesi ya kujibu swali hili.Hivi tunajilindaje kwa mfano
Hapo kwenye bega sijui amepaka Hina.Mbona majeraha sio mabichi jana tu....si walisema mahututi lakini sura imenawiri tu drama nyingi.
Nafikiri umejibu vyema hayo ndiyo maoni yako!Sihitaji kuheshimu maoni ambayo hayana ushahidi wala uthibitisho.
Tena kama naona ni ya kijinga nina wajibu wa kusema maoni haya ni ya kijinga.
Ni zaidi ya maoni yangu, ni ukweli wa kimantiki kwamba maoni potofu yanafaa kusemwa kuwa haya ni potofu.Nafikiri umejibu vyema hayo ndiyo maoni yako!