Picha za Abdul Nondo akiwa hospitali akiendelea na matibabu

Picha za Abdul Nondo akiwa hospitali akiendelea na matibabu

Wendawazimu wapo wengi wa kusema mama anaupiga mwingi.

Serikali ikishindwa kuwahakikishia usalama wananchi wake au yenyewe ikashiriki kuhatarisha usalama wa wananchi maana yake serikali hiyo imefeli na Rais amefeli.

Samia is failure president, na kumbukumbu zote siku za mbeleni zitaonesha hivyo.
Wacha kabisa
 
Na Kuna mipimbi mingine jana ilishaanza, 'ooh, zitto muongo. Wamelipanga tu hili"
 
Yule dada wa chadema aliyepakizwa kwenye boda boda huku kazimia picha zake zinafanana na hizi tuzipe jina first blood na second blood upinzani ukiwawezesha wanaweza mama wape eneo huko bagamoyo filamu zao zitauza zaidi ya royal tour!
Mkuu,

Una hakika gani kwamba hizi ni movies?

Hujui ikiwa umekosea hizi si movies, watu wameumizwa kweli, halafu wewe ukatoa kauli hizi za kejeli utakuwa umewakosea sana si wao tu, bali Watanzania na wapenda haki wote?
 
Yule dada wa chadema aliyepakizwa kwenye boda boda huku kazimia picha zake zinafanana na hizi tuzipe jina first blood na second blood upinzani ukiwawezesha wanaweza mama wape eneo huko bagamoyo filamu zao zitauza zaidi ya royal tour!
Ulikua umekufa sasa umefufuka kuja tu kuchuma Laana !!
 
Taarifa ya Chama cha ACT Wazalendo imeeleza "Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aghakhan, Dar es Salaam kutokana na kuumizwa kwa kipigo na watu waliomteka."

Pia soma
~
Taarifa ya kutekwa kwa Abdul Nondo kutoka ACT Wazalendo
~ Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo
cha Mabasi cha Magufuli
 
Attachments

  • wAAYu9E.jpg
    wAAYu9E.jpg
    271.9 KB · Views: 3
Taarifa ya Chama cha ACT Wazalendo imeeleza "Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Aghakhan, Dar es Salaam kutokana na kuumizwa kwa kipigo na watu waliomteka."

Pia soma
~
Taarifa ya kutekwa kwa Abdul Nondo kutoka ACT Wazalendo
~ Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo
cha Mabasi cha Magufuli
Duh walimchoma na pasi mgongoni?
 
Yarabi Toba!

Mpwa wa mwarabu wa Oman kaja kutumaliza watanganyika.

Lkn uzuri wake ni kwamba 2025 hatoboi!!
 
Uzuri wa haya magenge yanayofanya uhuni huu yanakuwaga kama mbwa kichaa kuna siku yatamdhuru hadi mmiliki
Ni kweli. Kundi la Mbonera Kule ilikuwa likitumika na watawala wa Burundi kudhuru wapinzani, lkn mwisho wa siku likawa tishio. Ndiyo maana limeunganishwa na chama tawala CNDD-FDD kwa sasa kinaitwa. .....CNDD-FDD-MBONERA KULE
 
Kama huyu wamemfanya hv sipati picha mdude huko aliko anayapitia yapi, naona watakuwa wanamning'iniza kama popo huku wakimchapa bakora za matakoni.

Duh hawa watu sio poa, halafu lile bonge tarimo lililokoswakoswa kutekwa linahojiwa eti linasema tusijadili issue yake linaimani na hawa manjagu. Jinga sn ss kama lilikuwa linaona ni watu wema kwa nn lilikuwa linagoma kupanda gari ili wakalunyooshe vizuri

Lilikuwa linajamba tu siku ile wale wahuni walipokuwa wanaliingiza kwenye gari huku likilia kuomba msaada, na inavyoonesha bado yupo kwenye target zao akijaa safari wanamchukua mazima na akirudi hai itakuwa bahati yake unless atakuwa zaidi ya nondo maana kamekuwa kadogo huku kakitafakari yaliyomsibu.
 
Kwa masaa machache tu wamemfinya hivyo ingelikuwa siku 2 au 3 sijui angelikuwa kwenye hali gani!

Na kwa namna ya hicho kipigo inaonekana wamempa onyo! Yaani kipigo cha onyo!
 
Hakuna haja ya kumpiga picha mgonjwa.
Asiyeamini muacheni asiamini.
mtu kafuatwa kituo Cha mabasi wakambeba ila mtu bado anabisha sasa huyo ana akili kweli?
Haya Mzee kibao mpaka kauliwa lakini Kuna watu bado wanabisha
 
Kwa masaa machache tu wamemfinya hivyo ingelikuwa siku 2 au 3 sijui angelikuwa kwenye hali gani!

Na kwa namna ya hicho kipigo inaonekana wamempa onyo! Yaani kipigo cha onyo!
Wamekosea ehee?
Walitakiwa wamuue kabisa
 
Back
Top Bottom