Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Usiwe na ghadhabu! Usiwe na ghadhabu!Wamekosea ehee?
Walitakiwa wamuue kabisa
Nisome taratibu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe na ghadhabu! Usiwe na ghadhabu!Wamekosea ehee?
Walitakiwa wamuue kabisa
Usiwe na ghadhabu! Usiwe na ghadhabu!
Nisome taratibu!
Nasikia jamaa alipigwa na baba yake. Za ndani zinasema walikuwa wanagombania mashamba.Umemuona nondo ana makovu ya tangu mwaka juzi?
Ndugu, una haki ya kuuliza ila hauna haki ya kutuhumu kwa sababu dhana imekatazwa.Sasa unasema kapewa onyo.onyo la Nini?si ina maana umefurahi Abdul kupigwa?ndivyo utawala wa Sheria unavyotaka?unateka,unapiga ukiamua unaua kabisa na hatuna mtu wa kukufsnya kitu?kisa yeye act wewe ccm?
Mimi simkejeli mtu ila sijaelewa kipindi cha Magufuli tuliaminishwa yeye ndie aliyekuwa akiteka na kuua!Mkuu,
Una hakika gani kwamba hizi ni movies?
Hujui ikiwa umekosea hizi si movies, watu wameumizwa kweli, halafu wewe ukatoa kauli hizi za kejeli utakuwa umewakosea sana si wao tu, bali Watanzania na wapenda haki wote?
Hiyo ndiyo umeona sababu tosha ya kusema hizi ni movies tu?Mimi simkejeli mtu ila sijaelewa kipindi cha Magufuli tuliaminishwa yeye ndie aliyekuwa akiteka na kuua!
wewe una maoni gani?!Hiyo ndiyo umeona sababu tosha ya kusema hizi ni movies tu?
Hujajibu swali.wewe una maoni gani?!
Una maoni gani kuhusu hilo!Hujajibu swali.
Hiyo ndiyo umeona sababu tosha ya kusema hizi ni movies tu?
Gentleman,Halafu anakuja mtu kama Tlaatlaah eti amani nchi iko mikononi mwa ccm

Hujajibu swali.Una maoni gani kuhusu hilo!
Yale ni maoni yangu nawe toa yako!Hujajibu swali.
Hiyo ndiyo umeona sababu tosha ya kusema hizi ni movies tu?
Jibu swali langu kwanza nitakupa maoni yangu.
Msoni yangu ni kwamba hutakiwi kutoatoa maoni yako tu bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwenye mambo sensitive kama haya.Yale ni maoni yangu nawe toa yako!
Ukilinganisha Tanzania , Somalia, Syria, Pakistan na Afghanistan, Egypt nkHalafu utamskia pimbi mmoja anasema Tanzania kuna amani sana
Ndio maana kila mmoja aheshimu maoni ya mwingine huo mjadala mpana kama maoni yangu yamekukwaza pole sana mkuu!Msoni yangu ni kwamba hutakiwi kutoatoa maoni yako tu bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwenye mambo sensitive kama haya.
Hususan kama maoni yako yanamtilia shaka mtu aliyeumizwa.
Sihitaji kuheshimu maoni ambayo hayana ushahidi wala uthibitisho.Ndio maana kila mmoja aheshimu maoni ya mwingine huo mjadala mpana kama maoni yangu yamekukwaza pole sana mkuu!
Atleast mdude inajupikana yuko wapi na ana kesiKama huyu wamemfanya hv sipati picha mdude huko aliko anayapitia yapi, naona watakuwa wanamning'iniza kama popo huku wakimchapa bakora za matakoni.
Duh hawa watu sio poa, halafu lile bonge tarimo lililokoswakoswa kutekwa linahojiwa eti linasema tusijadili issue yake linaimani na hawa manjagu. Jinga sn ss kama lilikuwa linaona ni watu wema kwa nn lilikuwa linagoma kupanda gari ili wakalunyooshe vizuri
Lilikuwa linajamba tu siku ile wale wahuni walipokuwa wanaliingiza kwenye gari huku likilia kuomba msaada, na inavyoonesha bado yupo kwenye target zao akijaa safari wanamchukua mazima na akirudi hai itakuwa bahati yake unless atakuwa zaidi ya nondo maana kamekuwa kadogo huku kakitafakari yaliyomsibu.