Picha za Abdul Nondo akiwa hospitali akiendelea na matibabu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Yule dada wa chadema aliyepakizwa kwenye boda boda huku kazimia picha zake zinafanana na hizi tuzipe jina first blood na second blood upinzani ukiwawezesha wanaweza mama wape eneo huko bagamoyo filamu zao zitauza zaidi ya royal tour!
Na Mzee kibao ilikuwa episode ya ngapi?
Tundu lisu pale Area D ilikuwa episode ya ngapi?
Waliouwawa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ni episode ya ngapi?

Lakini muhimu kuliko yote siku yakikukuta na wewe itakuwa episode ya ngapi????
 
Hii hali haikubaliki kabisa.hii si tena Tanzania tunayoijua ya akina nyerere na mkapa.hii nchi imekamatwa na mashetani wachache ambao wakoo juu ya sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…