Picha za Abdul Nondo akiwa hospitali akiendelea na matibabu

Wakati tukilalamika kujusu utawala.. walituambia hatumpendi 'mama' sababu ya 'imani' yake..
 
Hizo nchi unazoona hazina amani usifikiri zilizuka tu zikawa hivyo.lazima walianza ujinga kidogo kidogo hadi ukaenea nchi nzima.ata sisi huu ujinga hauna muda mrefu historia yetu itabadilika.Tusijidanganye kua yawenzetu hayawezi kutukuta.
 
Kuna wapumbavu hapa, walisema ni maigizo.
 
Hivi tunajilindaje kwa mfano
Swali zuri. Sidhani kuwa kuna jibu/majibu mepesi mepesi ya kujibu swali hili.

Mimi nitapendekeza majibu yafuatayo:
Usitoke nje ya nyumba yako. Kaa humo humo, endesha maisha yako na jamii yako humo humo.

Lakini ikilazimu utoke nje ya nyumba yako, hakikisha umevaa lebo muhimu za kukutambulisha wewe ni nani. Kwa mfano, nguo zionyeshe picha za mtu mashuhuri wa nchi hii, n.k..

Huko nje, usitamke chochote kuhusu vyama vya upinzani. Ikilazimu useme chochote kuhusu siasa, wewe unajuwa CCM tu.

Hii ni mifano michache tu ya kujilinda kwa sasa hivi, angalau, kabla ya yanayotokea huko kwingine, kama ya Makongorosi, Mbeya hayaja sambaa na kwingineko.
 
Sihitaji kuheshimu maoni ambayo hayana ushahidi wala uthibitisho.

Tena kama naona ni ya kijinga nina wajibu wa kusema maoni haya ni ya kijinga.
Nafikiri umejibu vyema hayo ndiyo maoni yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…