Picha za dada na mchepuko wake zimenivuruga

Rahisi sana: Mwambie dada ukifuta picha kumbuka kuzitoa kabisa kwenye recycle bin. Bila shaka utakapomrudishia simu ataenda moja kwa moja kwenye recycle bin hapo atakikuta ulichokiona.
 
Mme wake halisi angejua na kama kashatoa mahali anampokonya figo be kisha anaenda kuuza life linaendelea mwambie
 


USIJE MWARIBIA HALAFU MKAFUKUZWA HAPO KWA SHEMEJI YAKO WEWE NA YEYE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…