raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Mwache Adange huyo - Msaga Sumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mwanamke wa pekee yko. Ww ungefoward hzo picha kwenye simu yko. Next day ungemtumia dada yko tena.Ndugu zangu leo sister alikuja kunitembelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ni nzuri.
Sasa nimemaliza kupiga picha nikajirushia na kuzifuta nikaenda kwenye recycle bin nikazifute jumla ndipo nikakuta mambo yaliyo nitoa kwenye mood.
Maana nilikuta picha kama kumi za dada yangu akiwa na jamaa chumbani, wakilana mate ambae sio shemeji yangu ninayemjua duh.
Nimeishiwa na pozi nikaanza kumuwaza alivyo kuwa mstaarabu na kunipa ushauri wa kubaki njia kuu, Kumbe yeye anazagamuliwa nje ya ndoa yake.
Nikamrudishia simu lakini nimebaki namuwaza dada yangu anavyo msaliti shemeji yangu yaani roho inaniuma kama nasalitiwa mimi.
Ushauri wenu ninawaza nimwabie au nikae kimya sina hata jibu.
Ni kweli wanaume tunapungua...kama mtu badala ya kuandika "siku hizi" anaandika "skuizi" utasema huyo naye ni mwanamme kweli!?!?Dah wanaume tunapunguwa skuizi wewe kuliwa aliwe dada ako afu kuumia uumie wewe
Kataa ndoa tuchukue point 3 tenaNdugu zangu leo sister alikuja kunitembelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ni nzuri.
Sasa nimemaliza kupiga picha nikajirushia na kuzifuta nikaenda kwenye recycle bin nikazifute jumla ndipo nikakuta mambo yaliyo nitoa kwenye mood.
Maana nilikuta picha kama kumi za dada yangu akiwa na jamaa chumbani, wakilana mate ambae sio shemeji yangu ninayemjua duh.
Nimeishiwa na pozi nikaanza kumuwaza alivyo kuwa mstaarabu na kunipa ushauri wa kubaki njia kuu, Kumbe yeye anazagamuliwa nje ya ndoa yake.
Nikamrudishia simu lakini nimebaki namuwaza dada yangu anavyo msaliti shemeji yangu yaani roho inaniuma kama nasalitiwa mimi.
Ushauri wenu ninawaza nimwabie au nikae kimya sina hata jibu.
ushauri wako uko vizuri ila nimecheka hapokama unataka uwe chanzo cha kero kwa wazazi wako mwambie shemeji yako, ningekuwa mm ningemwita sister nampeleka sehemu tulivu tunapata juice then nampa makavu na mwisho namwambia uamuzi ni wake kuacha au kuendelea ila akija kufumwa na kuvurumishwa na mumewe nisimwone karudi kwa wazazi aende kwa mchepuko.
ephen_ una kaka weye?
sasa kama kaharibu ndoa yake mwenyewe anarudi kufanya nn, si aende kwa mchupuko au?ushauri wako uko vizuri ila nimecheka hapo
asimwone karudi kwa wazazi wake kwani ni kwake pale
Sasa unashangaa nini, muombe basi Shemeji yako simu yake kisha uende kwenye recycle bin yake kama hujakuta kashikishwa ukuta akiliwa na wenzake. Dunia hii ina watu wa hajabu sana. Dar mtu nyumbani anaitwa baba, akitoka tu kuingia mlango wa jirani basi anakuwa mke wa mtu na anaminywa pumbu mpaka anaguna, akirudi nyumbani kachokaaaaa ananuka mimavi tu 😡Ndugu zangu leo sister alikuja kunitembelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ni nzuri.
Sasa nimemaliza kupiga picha nikajirushia na kuzifuta nikaenda kwenye recycle bin nikazifute jumla ndipo nikakuta mambo yaliyo nitoa kwenye mood.
Maana nilikuta picha kama kumi za dada yangu akiwa na jamaa chumbani, wakilana mate ambae sio shemeji yangu ninayemjua duh.
Nimeishiwa na pozi nikaanza kumuwaza alivyo kuwa mstaarabu na kunipa ushauri wa kubaki njia kuu, Kumbe yeye anazagamuliwa nje ya ndoa yake.
Nikamrudishia simu lakini nimebaki namuwaza dada yangu anavyo msaliti shemeji yangu yaani roho inaniuma kama nasalitiwa mimi.
Ushauri wenu ninawaza nimwabie au nikae kimya sina hata jibu.
Kivipi wakati ni dada yake atakapopata magonjwa ya zinaaa familia ndio itatesekaMaswali ni mengi kuliko majibu. Sema mi nashauri mind your business.
Umenikumbusha kaka zangu. Waliniambiaga ukizingua usitegemee tutaja kukutetea, tukijua we mwingi tutakukung'uta na watoto wako wanaona, hatutaki ujinga. Nilishika adabu mameeeennnn....mkuu ebu nikupe ishu iliyotokeaga home kwetu, sister yangu alikujaga likizo na mume wake home, sasa sijui walizinguana nn huko ndani tupo nje na mshua na bi mkubwa mara tunasikia watu wanajibizana huko ndani, mara sister anatoka huku anamrushia mumewe maneno ya shombo, namuangalia mshua yupo kimya nageuka kwa mother naye kimya, nilisimama nikamwambia sister kwa ukali, dada, kama unamnyanyasaga mumeo kamnyanyasie huko huko kwenu sio hapa, na ukiendelea kuongea huo upuuzi wako kwa mumeo kesho mnaondoka hapa. sister aliniangalia kwa mshangao hakuamini alichokuwa anasikia kutoka kwangu maana tulipishana umri sana, badaye mshua na bi mkubwa wakaniita mshua akaniambia mwanangu leo umefanya kitu cha kijasiri sana, akanipa mkono, bi mkubwa akanipa buku tano akaniambia kesho nenda mjini ukatembee umenikosha sana mwanangu.
kwa hyo mkuu ulitakiwa baada ya kuona hzo mambo umkemee sister hapo hapo.
hawa ndo mabro sasa, ukishaolewa heshimu ndoa, sio kila siku unamzingua mumeo kisa una kwenu, ukishaolewa kwenu ni huko sio huku, hakuna kutetea ujinga, et sis amtolee mumewe maneno ya shombo mbele yangu? sikubali hata kama mume ndo mwenye makosa, kuna utaratibu wa kufuata.Umenikumbusha kaka zangu. Waliniambiaga ukizingua usitegemee tutaja kukutetea, tukijua we mwingi tutakukung'uta na watoto wako wanaona, hatutaki ujinga. Nilishika adabu mameeeennnn....
Haina shida mzazi, still wire imetusuuza roho, tunakitulizahawa ndo mabro sasa, ukishaolewa heshimu ndoa, sio kila siku unamzingua mumeo kisa una kwenu, ukishaolewa kwenu ni huko sio huku, hakuna kutetea ujinga, et sis amtolee mumewe maneno ya shombo mbele yangu? sikubali hata kama mume ndo mwenye makosa, kuna utaratibu wa kufuata.