The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Kuepuka mfadhaiko, usishike simu ya mtu.
Ushauri Bora na mzuri kabisa Kwa wale ambao Bado hawajaathirika.
Huyu tayari yupo kwenye mfadhaiko kiongozi, anahitaji neno la kumpunguzia mdadhaiko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuepuka mfadhaiko, usishike simu ya mtu.
Kwani wewe hujawahi kuchepuka au unamuonea wivu dada yako? Pengine sio simu ya dada yako ni ya mkeo au mchumba wakoNdugu zangu leo sister alikuja kunitembbelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ninzuri.
Sasa nimemaliza kupiga picha nika jirushia na kuzifuta nika enda kwenye recycle bin nikzifute jumla ndipo nikakuta mambo yaliyo nitoa kwenye mood.
Maana nilikuta picja kama kumi za dada yangu akiwa na jamaa chumbani, wakilana mate ambae sio shemeji yangu ninae mjua duh,
Nimeishiwa na pozi nikaanza kumuwaza alivyo kuwa mstaarabu na kunipa ushauri wa kubaki njia kuu, Kumbe yeye ana zagamuliwa nje ya ndoa yake.
Nikamrudishia simu lakini nimebaki namuwaza dada yangu anavyo msaliti shemeji yangu yaani roho inaniuma kama nasalitiwa mimi,
Ushauri wenu ninawaza nimwabie au nikae kimya sina hata jibu.
🚮 a foolNdivyo unavyojidanganya na kujifariji kwamba single parents hata akiwa na hela wana challenges money can't buy? Aisee kweli ujinga bado ni tatizo kubwa sana Tanzania.
🤣🤣Em tuonyeshe hizo pisc na sisi pia tunataka kuvurugika kama ww
Wapole wanakuaga wataalamu sana kwenye mizagamuano 😂Tofautisha utamu na kusikia uroda....
Dada ako japo mpole, ila kwenye hayo mambo anakuaga mkali kama mbwa mwitu 😂😂😂😂😂😂
inawezekana maana kila ushauri anaopewa wa kumpa sister makavu ni kama anaukwepa kiaina, siku wakiletewa majivu mtu kashachomwa huko ndo atatia akili.Usikute Sstr ndio mpango mzima kwake anamuweka mjini mwamba ,
Lazima atafakari namna yakumwingia.
kitumbua kisije ingia mchanga
Kavae nguo kwanza 😂😂😂Wapole wanakuaga wataalamu sana kwenye mizagamuano 😂
Nguo zangu n za muundo wa mapovuKavae nguo kwanza 😂😂😂
Hapo ukute simu ilikua inaita alafu ilipo sasa... Na yeye yupo hapo hapoNguo zangu n za muundo wa mapovu
Usalama wa ndoa kwanza 😂Hapo ukute simu ilikua inaita alafu ilipo sasa... Na yeye yupo hapo hapo
Hujaelewa mimi najua kuna hizi simu za sasa ukifuta kitu kina hifadhiwa kwenye recycle bin kwa siku 30 ndio kina disappear ndio maana nikaenda kuzifuta kule ndio nika kutana na zakwake alizo zifutagayasiyokuhusu yasikushughulishe,na simu ukipewa fanya kile kitu ulichoiombea simu,usifanye zaidi ya hicho
Shukran sana kwa mchango wakoIlishawahi kutokea kwangu hapo nyuma kidogo...!
Nilimfungulia Sister angu facebook account, simu yake Ilikua inazingua, so nikamfungulia kupitia kwangu kwa Chrome then nika log in kwake, nikamwelekexa kidogo then nikamwacha a enjoy....!
Baada ya miaka kama 3, kukatokea shida kidogo kwa facebook app, nikawa siwezi ku log in, ikasema ngoja niingie kwa kutumia Chrome then baadaye ntarekebisha kuhusu app, coz kuna mtu muhimu wa nje nilijua atakua keshatuma message...!
Ku search facebook ikafunguka, chap nikaenda messenger nikagundua hii sio facebook yangu, nikakumbuka Miaka 3 nyuma nilimfungulia Account sister angu...!
Nikaanza kusoma messages, Lah...! Haula.,...!
Nikajikuta natetemeka siamini nachokiona, sister angu ni mkubwa sana kwangu, ndo alinilea mimi, naanza Maisha yangu nikitoka kwake, ni kama Mzazi hivi kwangu, kukuta chatting zake na Wanaume wengine nje ya Shemeji yangu kulinipa Shida sana, hafu sio mwanaume mmoja...!
Kwa miaka 3 hiyo keshaliwa na 3, kuna kama 4 wanalishia, 2 kawaelewa, mmoja nadhani siku yeye tu akiamua akale mzigo, mwingine ndo wanaweka mambo sawa...!
Hawa 2 ndo Damu hazikuendana nadhani, kila wakitupa sound zinatolewa Mbavuni, anawaambia waache kumsumbua...! Nika log out kwa account yake...! Nikaanza kumtafakari...!
Hakuna anachokosa, mme wake ni aina ya mtu akinunua Gari mpya yake, ujue atanunua mpya pia kwa mkewe, ana kila kitu.... Nikasema WHY....!?
Nikasema japo ni mkubwa kwangu nitamwita....! Wakati najiandaa kumwita kuna jambo likatokea sehemu yake ya biashara, kwa nje hutaona kama lina uhusiano na mambo ya kuchepuka, ila mimi nikaenda kufanya Uchunguzi nikapata picha, nikamwambia nataka tuongee, akakataa coz alihisi nataka kuongea nae nini hasa kwa tukio la pili...!
Nikamwambia kama atakataa kuonhea na mimi means anakataa Ujumbe wa Mungu kupitia mimi... (Sio mlokole na Kanisani niliasi)
Akakubari...!
Tukaonana, nikaanzq kumpa Makavu yake mwanzo Mwisho, nikamwambia umri huo ukiachika utaenda wapi...!?
Nilimsema sana, na ukweli mpaka leo huwa ananambia kikao changu na yeye kilibadirisha Maisha yake... Huwa ananishukuru...!
Binadamu ni Wabishi tu na ujuaji mwingi usio na Maana, wale wanawake walojitunza ujanani, wakiingia kwenye Ndoa, wakikutana na changamoto kidogo tu kwenye Ndoa, huwa wanafungua Mlango, Shetani anachofanya ni kuchochea tu hisia zao, na vile wenzetu wanatumia hisia zaidi, Shetani anakazia hapo, kitakachofata ni Mke wako atafunuliwa ovyo ovyo na Wanaume tofauti huku yy akiona hakuna tatizo coz hujui, sasa Mungu ana namna ya kusaidia Watu wake.....!
Niamini mimi Mungu anataka kumsaidia Dada ako kupitia wewe, wewe mwenyewe nadhani hata issue ya kupiga picha kwa simu ya Dada ako haikua planned...!
Muite Dada ako, ni Damu yako, achana na mawazo Negatively ya members hapa, wengine ni Wanawake walishaingia mkataba na Satan.
Mkanye, mwambie aache.... Mwambie asipoacha kuna kitu kibaya kitatokea... Then Mungu atamgusa, ataacha njia yake Mbaya..!
Mwambie afunge na Kuomba, ni kwa njia hiyo tu ndo Ndoa yake itakua salama...!
Shetani anaharibu Ndoa nyingi sasa katika ulimwengu wa Roho....!
Mlio kwenye Ndoa.....Bila kufunga, bila maombi.... Hamtatoboa....! Sisemi juu ya Ulokole.... Nasema wewe mwenyewe funga na kuomba....! Ukifunga na kuomba utakua karibu na Mungu, then yeye menyewe atakupa njia.....!
Mkuu...! Mkanye Sister ako, usiogope, mimi nilifanya hivyo na ilimsaidia....!
Kaa kimya ndiyo. Ushaona wapi wivu kwa dada?Ndugu zangu leo sister alikuja kunitembelea home nikamuomba simu nipige picha maana camera yake ni nzuri.
Sasa nimemaliza kupiga picha nikajirushia na kuzifuta nikaenda kwenye recycle bin nikazifute jumla ndipo nikakuta mambo yaliyo nitoa kwenye mood.
Maana nilikuta picha kama kumi za dada yangu akiwa na jamaa chumbani, wakilana mate ambae sio shemeji yangu ninayemjua duh.
Nimeishiwa na pozi nikaanza kumuwaza alivyo kuwa mstaarabu na kunipa ushauri wa kubaki njia kuu, Kumbe yeye anazagamuliwa nje ya ndoa yake.
Nikamrudishia simu lakini nimebaki namuwaza dada yangu anavyo msaliti shemeji yangu yaani roho inaniuma kama nasalitiwa mimi.
Ushauri wenu ninawaza nimwabie au nikae kimya sina hata jibu.