Picha za kibao cha Kumbukumbu ya Merehemu, extract kutoka Uzi wa "Chanzo cha mabasi ya No Challenge kuitwa Tashrif

Picha za kibao cha Kumbukumbu ya Merehemu, extract kutoka Uzi wa "Chanzo cha mabasi ya No Challenge kuitwa Tashrif

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Juzi kati nilivutiwa na thread hii ambayo pia nilikuta ikisambaa kwenye magroup mengi ya Whatsapp including Yale ya Sekondari. Thread yenyewe hii hapa

Nakumbuka nilikomenti kwenye Ile thread kwakua kulikua na school mates ambao waliponea chupu chupu.

Leo nilikuja Tanga. Na nilipofika eneo la tukio nikakumbuka kisa hiking, nikasimama na kuchukua picha za kibao kilichotajwa kwenye Uzi huo, hakika ni kumbukumbu inayoumiza.

Mahali hapa huwezi kuamini kuwa ndipo palijaa maji ndani ya nusu saw na kusabibisha maafa makubwa na baada ya tukio hilo hapajawahi kujaa maji
IMG_20230511_155148.jpg
IMG_20230511_155144.jpg
 
Back
Top Bottom