Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #21
Naww pachikaPicha za kupachika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naww pachikaPicha za kupachika
Ipo hivyo!zawqdi gan tena hiyo
au utajuwepo kwa mkwel unapiga vyombo nikakosa kualikwa?
Bado mmojaObama, Zuckerberg, Musk, Trump, Putin, Kim, William, Lebron, Curry, Dwayne, Cruz, Jolie, Depp, Jlo na Dicaprio.
Alafu izo picha sio halisi
Umewatambuaje kama sio halisiObama, Zuckerberg, Musk, Trump, Putin, Kim, William, Lebron, Curry, Dwayne, Cruz, Jolie, Depp, Jlo na Dicaprio.
Alafu izo picha sio halisi
Bado mmoja
Bado mmoja
Zimetengenezwa kwa kutumia mfumo wa AIUmewatambuaje kama sio halisi
China Baba wa Photoshopmbona hizi picha kama viongozi wote wako China au nimeona Peke yangu
Duuuh ebu naww tengenezaZimetengenezwa kwa kutumia mfumo wa AI
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimewataja wote
Kwa Cruz umechemka, hayupo Cruz apoNimewataja wote
Johnny Depp ama mbona kamtaja au ulitaka amuite Jack Sparrow uelewe,alafu picha siyo halisi hizi!!Bado mmoja
Kamtaja Cruz ilihali hayupo kwenye galleryJohnny Depp ama mbona kamtaja au ulitaka amuite Jack Sparrow uelewe,alafu picha siyo halisi hizi!!
Je umemgundua Nani Kati ya Hawa Kuna viongozi wakubwa, wafanyabiashara wakubwa, wasanii wakubwa wakiwa sehemu tofauti na Dunia yao.
N. B. Atakaewajua wote ninazawadi yake View attachment 2673807View attachment 2673808View attachment 2673809View attachment 2673811View attachment 2673813View attachment 2673815View attachment 2673816View attachment 2673818View attachment 2673819View attachment 2673820View attachment 2673821View attachment 2673822View attachment 2673823View attachment 2673824View attachment 2673826View attachment 2673827View attachment 2673828