Picha za kushangaza maisha nje ya uhalisia

Picha za kushangaza maisha nje ya uhalisia

Kwa hio umeziamini? Simpo sana kujua hizo picha ni photoshop.
Jazina uwoano na image zingine.
Image hizo ni kubwa kuliko vitu vingine
Hazina connectivity, yani zimejitenga na kujichora peke yake.
Rudia kusoma mada ya map reading and map interpretation.
 
Naona my Classmates wana enjoy life tartiiiiib....😊
 
Back
Top Bottom