Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
HUYU MKE WA MUGABE HAFAI HATA KUWA BALOZI WA NYUMBA KUMIAmepinduliwa kisayansi na kiteknolojia...atatoka sema lazima kuna terms wanaonge
1.Nasikia kakubali kisepa
2.sema katiba inasema lazima amuachie mtu madaraka na katiba yasema ni Makamu ambaye ni mke wake ashamchagua tangu juzi
Hapo ndo ugumu ulipo.
Mkuu nilikua sijaona ikabidi nirudi kwenye picha.
Huyu mkuu wa majeshi ni boya Tu kama ana kijana wake yuko jeshini anapaswa afanye kumshikisha adabu
Kama unateka nchi afu unakaa kwenye mazungumzo na uliyowateka huo siyo uasikari labda kama hilo jeshi lao kama wanafanyaga hivyo
Kama nia yake alikuwa ni kumtoa Mugabe na kumuweka MTU mwingine mazungumzo ya nn wazimbabwe wenyewe waoga kama watanzania hawana hili wala lile
Mwambieni huyo kamanda maji hayapandi mlima
Sengwile makamanda ndyo ilitakiwa isikike halale mida hii huku jeshi likiendelea kugawana nyazifa mbalimbali
Askari anapoingia mess kupata chakula kuna sehemu zipo wanatundika kofia Kwa rankMkuu Kuna vitu umeandika viko sawa ila naomba nikusahishe hapa:
Mkuu wa majeshi CDF wa Zimbabwe sio boys kama unavyosema maana hapo hakuna mapinduzi ila wao wana tuliza rabsha rabsha tu na kama Uko makinikia utaona anazungumza kiraia na kwa utiifu kwa CIC -Jongwe Mugabe , na ndo maana hata kofia yake kaiweka hapo juu ya bega (maana hazungumzi kijeshi Bali kiraia, ila ingekuwa anazungumza kijeshi na kimapinduzi ungeona makamanda wake wako pembeni na angekuwa kavaa kofia na wapambe wenye vyuma vya moto ungewaona wakiwa wamemzunguka .
Kumbuka kipindi cha kina "Field Marshall Fatal Al Sis" kule Misri walivyokuwa wakitangaza kutwaa madaraka ya nchi walikuwa wao kama wanajeshi na wakiongea kijeshi.kweli kweli (wakiwa wamevaa kofia za kijeshi).
Tukiwaheshimu na kufuata hizi taratibu mnatuona maboya na kuanza kutoa rushwa, sasa sawa hao ni jeshi kufanya mapinduzi na hapo ndo dawa ya madicteta katika nchi zetu.Amani ni tunda la haki na demokrasia.
Ni wapi Mugabe alipovunja katiba ya Zimbabwe?
Nija zinazokubalika kumuondoa madarakani ni kupigwa kura na kukataliwa na wananchi.
Mke wake kupanda profile ndani ya Zanu PF ni kosa kikatiba?
Ndani ya Zanu PF zipo taratibu za kumzuia mke wa mugabe kukosa fursa ya kuwania urais kwa tiketi ya Chama hiko...kuna ukakasi gani wa kufuata hizo taratibu?
Kumpindua Mugabe sio halali kama ilivyotaka kutokea Burundi na maeneo mengine.
Hatuwezi kuwa na jamii inayodefine demokrasia kwa upendeleo.
mmoja wapo akiwa huyo demu wakekwa mujibu wa jeshi la zimbabwe
walikuwa wanadeal na wale wachafuzi wa hali ya hewa
wanajua wanachokifanya. wana uzalendo wa kweli. siyo kama sisi unakuta jitu na elimu yake linashirikiana na accacia kuiba makinikia yetu.Eti wanaita Romantic coup.
.
Hawa wajeshi hawako serious,washukuru mugabe kazeeka hana nguvu wala akili,
angekuwa sharp kama buyoya,
wangethubutu kulemba vile,wangelokotela mpira kunyavu
Askari anapoingia mess kupata chakula kuna sehemu zipo wanatundika kofia Kwa rank
Askari anapokuwa kwenye mazungumzo ya kiofsi kofia pia hatakiwi kuivaa kama ni ofsi ya jeshi kunakuwa na sehemu maalumu ya kutundika kofia pia Kwa rank mfano juniour officer hawezi tundika kofia na seneor officer sehemu moja
Mkuu wa majeshi wa Zimbabwe alikuwa kwenye mazungumzo ya kiraia nakubali lakni kofia inatakiwa ishuke hiyo ni automatically hata yangekuwa mazungumzo ya kijeshi inashuka
Anyway jeshi liheshimiwe mkuu
Nazi party is the choice.
Hata hivo wamekifanyia Heshima sana kibabu hicho Kinachonga nchi kwa mke,Ilitakiwa kiwe jela kione majungu ya kuwaweka wapinzani wake jela,naona wananchi wako upande wa jeshi, kameharibu sana uchumi.
Katoliki wanahusika VP , mbona sioni masheikh