Picha za Lissu na dada wa Chadema mwenye mkoba wa rangi za Upinde yazua gumzo

Picha ya tatu ni Lisu huyuhuyu
 
Hahahaaa aaah mnanichosha aah
 
Umeishiwa hoja, hiyo bidhaa mbona imejaa sokoni au kwenye vijiwe vya marasi? Watz wanapenda upumbavu sana.
Usipotoshe jamii rasta wana rangi zao ambapo ni nyekundu njano na kijani na zina maana zake sio ma rangi rangi kama idadi ya marinda kwenye spika
 
Ni kitu gani kinakuelekeza kuwa huyo mtu anayekumbatiana na Lissu ni dada?
 
Hiyo picha inaonesha Lissu anafahamiana vizuri na huyo aliyemkumbatia, na hizo rangi zipo kwenye begi alilobeba, hivyo huwezi kuzihusisha moja kwa moja na LGBT, labda utuambie hao LGBT wote wanavaa mabegi ya aina hiyo na hayaruhusiwi kuvaliwa na watu wengine.
 
Dah ishakua hatari hizi rangi.
Nilikua na fulana rangi za upinde ya miaka mingi ikabidi niichome moto maana unaweza ukavaa waungwana wakaanza kukuwazia mengine πŸ˜‚
 
Hayo ni matusi watu wameshayazowea !!
 
Dah ishakua hatari hizi rangi.
Nilikua na fulana rangi za upinde ya miaka mingi ikabidi niichome moto maana unaweza ukavaa waungwana wakaanza kukuwazia mengine [emoji23]
Ungewapelekea chadema
 
Rangi, mikoba, tabia! LGBT Q ? Ufikiriacho ndicho kilichokujaza! Kwa jinsi uliona haraka hiyo rangi ya mkoba inaonyesha una uhusiano na LGBTQ. Kijijini na sehemu nyingine hawaelewi maana ya LGBTQ sembuse hizo rangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…