Picha za Lissu na dada wa Chadema mwenye mkoba wa rangi za Upinde yazua gumzo

Kwa kweli Lissu bado ni kitendawili kuhusiana na LGBT View attachment 2496363View attachment 2496364View attachment 2496365

Unapoamua kuwa Public Figure,tena kwenye siasa!
Unapaswa kuwa makini na kila nyendo zako!

Maana huko mbele,wakati unapowadia,opponents wako huangalia ni wapi unyonge wako ulipo.

Hao tunaowaiga hii Demokrasia yao,wao kashfa ambayo sisi tunaiona ndogo!

Wao ndio huitumia kuwaondoa viongozi wazembe.

Mfano ni Borris Johnson, aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza

Alilazimika kujiuzuru,kisa ni kufanya pati na rafiki zake wakati wa COVID-19 nchini kwake.

Wakati nchi ikiwa kwenye Lockdown quarantine!
Picha ya tatu ni Lisu huyuhuyu
 
Hahahaaa aaah mnanichosha aah
 
Umeishiwa hoja, hiyo bidhaa mbona imejaa sokoni au kwenye vijiwe vya marasi? Watz wanapenda upumbavu sana.
Usipotoshe jamii rasta wana rangi zao ambapo ni nyekundu njano na kijani na zina maana zake sio ma rangi rangi kama idadi ya marinda kwenye spika
 
Siku ya jana na Leo limezuka gumzo mtandaoni la picha za Lissu na Dada wa Chadema aliyevaa mkoba wenye rangi rangi zile za Upinde(lgbt).

Wengi wanamshutumu Lissu na kumsema vibaya. Lakini Mimi binafsi sioni kosa la Lissu hapo, je Lissu alipaswa kukataa kusalimia na huyo dada wa chadema? Jibu hapana, Lissu hakupaswa kukataa na Wala Lissu hakumwambia huyo dada aje na hizo rangi za Upinde.

Hivyo ni makosa makubwa kumshambulia na kumtukana Lissu kwa jambo kama hili, Lissu hana kosa hata kidogo hata kama ana support hao watu lakini kwenye hii hana kosa.

Wa kulaumiwa na kushambuliwa ni huyo kada wa chadema ambae kwa uwazi ameonyesha kuwa ni supporter mkubwa wa Upinde.

Tutafute vya kumkosoa Lissu, kwa hili hapana. Japokuwa msimamo wa Lissu upo wazi kabisa, lakini kwenye hili la hii picha hausiki wala tusimuonee.

Tumlaumu Lissu kwa kusema uongo na kuwa msaliti, Ila hili la picha hapana.

View attachment 2496181
Ni kitu gani kinakuelekeza kuwa huyo mtu anayekumbatiana na Lissu ni dada?
 
Hiyo picha inaonesha Lissu anafahamiana vizuri na huyo aliyemkumbatia, na hizo rangi zipo kwenye begi alilobeba, hivyo huwezi kuzihusisha moja kwa moja na LGBT, labda utuambie hao LGBT wote wanavaa mabegi ya aina hiyo na hayaruhusiwi kuvaliwa na watu wengine.
 
Pixha ya tatu ni lisi huyuhuyu
Huyu huyu, hiyo ni juzi akiwa airport Ubelgiji mkuu!
JamiiForums1415314036.jpg
 
Dah ishakua hatari hizi rangi.
Nilikua na fulana rangi za upinde ya miaka mingi ikabidi niichome moto maana unaweza ukavaa waungwana wakaanza kukuwazia mengine 😂
 
Siku ya jana na Leo limezuka gumzo mtandaoni la picha za Lissu na Dada wa Chadema aliyevaa mkoba wenye rangi rangi zile za Upinde(lgbt).

Wengi wanamshutumu Lissu na kumsema vibaya. Lakini Mimi binafsi sioni kosa la Lissu hapo, je Lissu alipaswa kukataa kusalimia na huyo dada wa chadema? Jibu hapana, Lissu hakupaswa kukataa na Wala Lissu hakumwambia huyo dada aje na hizo rangi za Upinde.

Hivyo ni makosa makubwa kumshambulia na kumtukana Lissu kwa jambo kama hili, Lissu hana kosa hata kidogo hata kama ana support hao watu lakini kwenye hii hana kosa.

Wa kulaumiwa na kushambuliwa ni huyo kada wa chadema ambae kwa uwazi ameonyesha kuwa ni supporter mkubwa wa Upinde.

Tutafute vya kumkosoa Lissu, kwa hili hapana. Japokuwa msimamo wa Lissu upo wazi kabisa, lakini kwenye hili la hii picha hausiki wala tusimuonee.

Tumlaumu Lissu kwa kusema uongo na kuwa msaliti, Ila hili la picha hapana.

View attachment 2496181
Hayo ni matusi watu wameshayazowea !!
 
Siku ya jana na Leo limezuka gumzo mtandaoni la picha za Lissu na Dada wa Chadema aliyevaa mkoba wenye rangi rangi zile za Upinde(LGBTQ).

Wengi wanamshutumu Lissu na kumsema vibaya. Lakini Mimi binafsi sioni kosa la Lissu hapo, je Lissu alipaswa kukataa kusalimia na huyo dada wa chadema? Jibu hapana, Lissu hakupaswa kukataa na Wala Lissu hakumwambia huyo dada aje na hizo rangi za Upinde.

Hivyo ni makosa makubwa kumshambulia na kumtukana Lissu kwa jambo kama hili, Lissu hana kosa hata kidogo hata kama ana support hao watu lakini kwenye hii hana kosa.

Wa kulaumiwa na kushambuliwa ni huyo kada wa chadema ambae kwa uwazi ameonyesha kuwa ni supporter mkubwa wa Upinde.

Tutafute vya kumkosoa Lissu, kwa hili hapana. Japokuwa msimamo wa Lissu upo wazi kabisa, lakini kwenye hili la hii picha hausiki wala tusimuonee.

Tumlaumu Lissu kwa kusema uongo na kuwa msaliti, Ila hili la picha hapana.

View attachment 2496181
Rangi, mikoba, tabia! LGBT Q ? Ufikiriacho ndicho kilichokujaza! Kwa jinsi uliona haraka hiyo rangi ya mkoba inaonyesha una uhusiano na LGBTQ. Kijijini na sehemu nyingine hawaelewi maana ya LGBTQ sembuse hizo rangi.
 
Back
Top Bottom