Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,403
- 1,837
Mbona unamwaita kisukumaHuyu Prince Nderea alikua mkorofi eeh! Mbona yeye pekee kasimama chini na pozi tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unamwaita kisukumaHuyu Prince Nderea alikua mkorofi eeh! Mbona yeye pekee kasimama chini na pozi tofauti
Nikweli. Hata mie nilishaliona hilo.Prince phillip na prince william ukicheck picha za ujana wamefanana sana, Royal Families Lives Royal under the earth
Zimedukuliwa wapi?View attachment 1175074
Siku wanatangaza engagement yao 1947
View attachment 1175075
Picha ya kumbukumbu ya engagement
View attachment 1175076
View attachment 1175077
View attachment 1175088
Familia ikiwa kwenye Polo match na mbwa wao, Prince Charles na Princess Anna
phillip akiwa kijana wakati kichwani nywele zimeisha kama zimelambwa na ng'ombe.?View attachment 1175074
Siku wanatangaza engagement yao 1947
View attachment 1175075
Picha ya kumbukumbu ya engagement
View attachment 1175076
View attachment 1175077
hiyo ndio uongozi sio huku kwetu mtu ni amiri jeshi mkuu ila hajui chochote. uongozi wa kifalme kuna wakati mfalme anaongoza vita mbele kabisa na anavipiga hatariHivi hua kuna siri gani hawa royals wote wa kiume kupitia jeshini? Ukiangalia watoto wao wote wa kiume pia ni wajeda au wamepitia jeshini
unarudi kama mvuaSawa
Ujana moshi ukienda haurudi.
oooooh kumbe sasa vijana wa siku hizi tunakwama wapi ?Hii ni way style, ndiyo vijana wa enzi hizo walikuwa wanachana hivyo.
Hata Oscar Kambona na Dr Kamuzu Banda walichana way la kufa mtu.
View attachment 1175074
Siku wanatangaza engagement yao 1947
View attachment 1175075
Picha ya kumbukumbu ya engagement
View attachment 1175076
View attachment 1175077
Jamaa alitoboa bikra hapo,View attachment 1175074
Siku wanatangaza engagement yao 1947
View attachment 1175075
Picha ya kumbukumbu ya engagement
View attachment 1175076
View attachment 1175077
Ulinzi na intejent lazima uazie kwako mwenyewe.Hivi hua kuna siri gani hawa royals wote wa kiume kupitia jeshini? Ukiangalia watoto wao wote wa kiume pia ni wajeda au wamepitia jeshini
Kwanza watoto hawakurithi jina lake
Pili kila wanapokwenda hawezi kukaa kabla malkia hajakaa.
Na mengine mengi