Picha za Malkia Elizabeth II na mume wake Prince Phillip wakiwa vijana

Kwahiyo hapo ninani aliezaliwa kwenye ufalme na Nani katokea uraiani? Nikimaanisha je malkia alikuwa sio mzaliwa wa ufalme ila amekuwa queen baada ya kuolewa?
 
Wote wametoka kwenye koo za kifalme

Malkia Elizabeth bintie mfalme George vi na ndio aliyerithi kiti cha enzi cha ufalme wa uingereza kutoka kwa baba yake mfalme George vi(akipendwa sana na watu wake enzi za utawala wake)baada ya kufariki 1952

Prince Philip yeye ni mjukuu wa mfalme George wa ugiriki, akitokea kwenye ukoo wa kifalme wa denmark na ugiriki.

Kihistoria utaona wote wametoka kwenye koo za kifalme.

Jambo moja ufahamu kuwa kwa pale uingereza basi Prince Philip ndio kakaribishwa kwa kuoa binti mfalme Elizabeth,kwa kuwa Prince Philip sio mwana asili wa Uingereza bali mgiriki na mdenish.

Kwa kuhitimisha hakuna hata mmoja aliyetoka mtaani wote wametoka kwenye koo za kifalme zenye kuheshimika na kutajika nyakati zile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenijibu vzr Sana swali langu asante
 
Swali la pili huyo prince anadhibitiwa vipi kiusalama je hawezi kuuhujumu ufalme wa uingereza kwaniaba ya nchi zake alizotoka?

Pili kumbe inwezekana siku moja ufalme wa uingereza ukaingiliwa na alien ambae sio muingereza kupitia mapenzi Kama DOD alifayed na huyo prince Philip ikimaanisha kwamba ipo siku mtoto wa king mswati atakuja kuwa mfalme wa uk au Toto la ugaidini saudia litakuja kuwa king of uk.
 
Kwa kukufahamisha tu Prince Phillip ni sehemu ya MI5 na amekuwa kiapoo cha kuitumikia nchi. Mfalme anaejua ya ni mtoto wake Prince Charles lakini yeye hawezi kuwa mfalme ila ni Prince anaemsaidia mtawala.
 
Back
Top Bottom