Picha za Malkia Elizabeth II na mume wake Prince Phillip wakiwa vijana

Alichofaidi ni kunyunyiza tu. Siku hizi za uzeeni ndio amekaa kimya kabisa. A good but miserable life that he had chosen. How could it be without being myself?

Kazi kweli kweli
Anakula pesa ya tax payers, unafikiri kuwa 98 na bado unadunda kunakuja na matunzo mazuri. Mume wa Queen ni mtu mkubwa sana hasubiri foleni kwa daktari wala hapigi pasi shati lake.
 
Ni mtu mkubwa sana ila asiye huru. Bora wauza madafu wenzangu wa Tandale. Maisha hayo you compromise all to get half.
 
Nasikia jamaa ni mtata mno-sio boya hata kidogo
Nilisoma historia yao kidogo, alileta mabadiliko makubwa Buckingham Palace baada ya mke wake kuwa Malkia mpaka alimkera mama mkwe ambae aliona legacy ya mume wake inafutwa.

Moja wapo lilikuwa kununua washing machines na dry cleanings machines. Staff walimpenda sana kwa hilo.
 
Unamaanisha walitakiwa wafue nguo kwa mkono japo technology ipo??
 
...halafu nasikia akiambana na malikia safari za nje ni lazima aharibu-...kuna mahali walienda walivyokuja kupokewa akawauliza mmeacha kula nyama za watu ?!!

Walikwenda China 1998 baada ya official talk balozi wa Uingereza aliwaalika dinner Waingereza wanaishi China Malkia akiwa mgeni rasmi.

Wakati mke wake anatoa speech huko jamaa aliwaambia Waingereza mkikaa huku sana macho yenu yatakuwa madogo kama Wachina.

Kesho yake habari ilikuwa kwenye magazeti ya China. Wizara ya mambo ya nje ya Uingereza ilibidi kuomba msamaha.
 
Walikwenda China 1998 baada ya official talk balozi wa Uingereza aliwaalika dinner Waingereza wanaishi China Malkia akiwa mgeni rasmi.

Wakati mke wake anayo a speech huko jamaa aliwaambia Waingereza mkikaa huku sana macho yenu yatakuwa madogo kama Wachina.

Kesho yake habari ilikuwa kwenye magazeti ya China. Wizara ya mambo ya nje ya Uingereza ilibidi kuomba msamaha.
Baby I love you
 
Sisi wengine MUNGU kweli atatusamehe tu zambi zetu. Maana kutafuta tu chako mpaka upambane sana. Saingine mpaka uwakosee sana wengine,muda mwingine inabidi tu upige ufisadi serikalini au upige tu ujamba au upige tu mali pungufu,bila ya hivyo hujafanikiwa. Lakini hao halali waishi miaka 100,maana daah...! Hawana hata strees. Kila kitu wanakikuta kwa wepesi
 
Unamaanisha walitakiwa wafue nguo kwa mkono japo technology ipo??
Yaah mpaka kipindi jicho walikuwa wanafua kwa mokono. Kufua kwa mikono ilikuwa ndiyo smdesturi.
 
Ni utamaduni wa wafalme wote lazima wapitie jeshini, kumbuka Alexander the Great, Napoleon, etc
Jamaa alifaidi sana huyu, tangia kakiwa kadada mpaka leo? hakuna aliye na skendo ya kuchepuka kweli hapo?

ebu jaza jaza kidogo nyama huko B/ palace hakuna vi house girl kwani? vinavyo wahi kutandika kitanda au wanatandika wenyewe? huyu mama akidodoswa atakuwa na mengi huyu!
 
Back
Top Bottom