Picha za Malkia Elizabeth II na mume wake Prince Phillip wakiwa vijana

Picha za Malkia Elizabeth II na mume wake Prince Phillip wakiwa vijana

Ni utamaduni wa wafalme wote lazima wapitie jeshini, kumbuka Alexander the Great, Napoleon, etc
Huyu marehemu alikuwa raia wa wapi? England??? Alikuw mjeshi kabla au baada ya kuchumbia ndio akapelekwa jeshini
 
Hao jamaa mabedui walimpoteza princess D baada kuona mvaa kobazi atawaletea mtoto toka Umangani katika kasri.
Tuwe wa kweli katika hili, hivi Diana angekua Mwarabu na apewe mimba wana Mzungu, familia ya kifalme ingefanya maamuzi gani?
 
Tuwe wa kweli katika hili, hivi Diana angekua Mwarabu na apewe mimba wana Mzungu, familia ya kifalme ingefanya maamuzi gani?
Tatizo Umangani akili zao wanazijua wenyewe. Halafu nadhani waliona Mfalme wa baadae Great Britain (Prince William angekuja kuwa na ndugu Mvaa kobazi ingekua sio. Full confusion!
 
Na amevumilia na kujitolea mengi, mpaka kuzikwa anazikwa ukweni, watoto hawakubeba jina lake. Mke pia anaitwa Elizabeth Windsor.
Huo ndo uvumilivu unaotakiwa maana hakuwa raia wa uingereza, na kwanini watoto hawakubeba majina yake?
 
Huo ndo uvumilivu unaotakiwa maana hakuwa raia wa uingereza, na kwanini watoto hawakubeba majina yake?
Watoto wanapata majina ya miji, kama George Huyu mtoto wa Kate anaitwa George Cambridge, Archie ni Archie Harrison Sussex
 
Back
Top Bottom