Picha za Malkia Elizabeth II na mume wake Prince Phillip wakiwa vijana

Picha za Malkia Elizabeth II na mume wake Prince Phillip wakiwa vijana

Hivi hua kuna siri gani hawa royals wote wa kiume kupitia jeshini? Ukiangalia watoto wao wote wa kiume pia ni wajeda au wamepitia jeshini
ni tradition hiyo, ipo kwa maelfu ya miaka, prince lazima awe mjeda na atake active role ikitokea vita
lakini pia hata malkia alikuwa fundi makenika wa jeshi wakati wa WW2
 
Huyu marehemu alikuwa raia wa wapi? England??? Alikuw mjeshi kabla au baada ya kuchumbia ndio akapelekwa jeshini
Alikuwa mzaliwa na raia wa Greece, lakini mama yake ni mjukuu wa Queen Victoria kwa hivyo ni wana undugu na Queen Elizabeth ambaye naye ni mjukuu au kitukuu cha Queen Victoria. Prince Philip alikulia Britain na baadae alipoanza kuonyesha interest kwa Elizabeth alipewa uraia
na cheo cha kifalme.
 
Prince phillip na prince william ukicheck picha za ujana wamefanana sana, Royal Families Lives Royal under the earth
... percentage ya genes za Prince Phillip ndani ya Prince William ni kubwa mno; ni zaidi ya first degree relationship. Ni true image of his grand-parent.
 
View attachment 1175074

Siku wanatangaza engagement yao 1947

View attachment 1175075

Picha ya kumbukumbu ya engagement

View attachment 1175076

View attachment 1175077
View attachment 1748000

Prince Philip and Queen Elizabeth II first met when she was just 13 years old.​

After his boyhood school days were over, Philip enrolled as a naval cadet at the Royal Naval College at Dartmouth. This was where he met his future wife for the very first time.

During a 1939 royal visit to Dartmouth, Queen Elizabeth (that is, the present queen’s mother, the wife of George VI) asked if Philip would chaperone her two young daughters, princesses Elizabeth and Margaret, for the duration of the visit. Philip and the future Queen Elizabeth II began exchanging letters shortly afterwards, and a romance quickly bloomed.
RIP mwanaume uliyeishi mazingira hatarishi kuliko yoyote awaye
 
Huyu Kijana Philip ali-break vipi kasiri la King George hadi kumpata binti yake? kweli atakuwa alikuwa ni kijana Jasiri sana huyu.
 
By change hivi kweli fukara fukara bila elimu inayoeleweka unaweza ku-break na kuoa binti wa mfalme kama hadithi nyingi zinavyosimuliaga?
 
Back
Top Bottom