Picha za Malkia Elizabeth II na mume wake Prince Phillip wakiwa vijana

Picha za Malkia Elizabeth II na mume wake Prince Phillip wakiwa vijana

Watu walioishi pamoja kwa muda wote huo huwa hawapishani sana kusepa. Soon Malkia nae ajali yake itafika. Kuna vitu atamis hususan zile story za kukumbushana ya ujanan kabla ya kulala usiku, upweke na kinga dhaifu kulingana na umri vitamwondoa mapema.
Atakuwa anafikiria ile stock yake ya dhahabu anamuachia nani? Wazo la kufa linapotea hapo hapo
 
Hadi raha
12e2ff5f2ec8c1542d5f9eedf2aaf603.jpg
 
Huyu Kijana Philip ali-break vipi kasiri la King George hadi kumpata binti yake? kweli atakuwa alikuwa ni kijana Jasiri sana huyu.
Inaelekea aliandaliwa kuwa mume wa Malkia. Alianza mafunzo ya kijeshi kambini ndipo mke wa King George alimuandikia barua kumuomba kuwapa guiding your watoto wake Elizabeth na Margaret. Walati huo Elizabeth alikua na miaka 13. Baada ya hiyo tour waliendelea kuandikiana barua.
 
Philip na Elizabeth wote ni vitukuu vya Malikia Victoria. Philip ni mjukuu wa Ann na Elizabeth ni mjukuu wa Edward ambae alirithi Ufalme wa mama yake.
 
View attachment 1175074

Siku wanatangaza engagement yao 1947

View attachment 1175075

Picha ya kumbukumbu ya engagement

View attachment 1175076

View attachment 1175077
View attachment 1748000

Prince Philip and Queen Elizabeth II first met when she was just 13 years old.​

After his boyhood school days were over, Philip enrolled as a naval cadet at the Royal Naval College at Dartmouth. This was where he met his future wife for the very first time.

During a 1939 royal visit to Dartmouth, Queen Elizabeth (that is, the present queen’s mother, the wife of George VI) asked if Philip would chaperone her two young daughters, princesses Elizabeth and Margaret, for the duration of the visit. Philip and the future Queen Elizabeth II began exchanging letters shortly afterwards, and a romance quickly bloomed.
Alikuwa na mwanamke wa nguvu na yeye mwenyewe pia alikuwa ni mme wa nguvu. Wanaume wengi hupenda sana kuwatetea na kuwalinda wake zao wanapojua kuwa wanawake hao wanawategemea na kuwaheshimu; jamaa alimlinda sana malkia hata kama ni kweli yeye ndiye alikuwa anamtegemea malkia. Kwa sisi waswahili mwanamke akishapata shilingi moja zaidi yako au hata akidhani anaweza kuishi bila kukutegemea wewe anaaza kukuletea nyodo hadi unashindwa kuona kama una mke wa kutetea kweli. Jamaa kila siku alikuwa anajua ana mke, na alikuwa anakaa nyuma yake kuhakikisha mke wake yuko salama hata kama mke huyo alikuwa ndiye amiri jeshi mkuu.
 
Alikuwa na mwanamke wa nguvu na yeye mwenyewe pia alikuwa ni mme wa nguvu. Wananume wengi hupenda sana kuwatetea na kuwalinda wake zaod wanapojua kuwa wanawake hao wanawategemea; jamaa alimrinda malkikia hata kama ni kweli yeye ndiye alikuwa anamtegemea malkia. Kwa sisi waswahili mwanamke akishapata shilingi moja zaidi yako au hata akidhani anaweza kuishi bila kukutegemea wewe anaaza kukuletea nyodo hadi unashindwa kuona kama una mke wa kutetea kweli. Jamaa kila siku alikuwa anajua ana mke, na alikuwa anakaa nyuma yake kuhakikisha mke wake yuko salama hata kama mke huyo alikuwa ndiye amiri jeshi mkuu.
Ni kweli kabisa, na Malkia alikua anajivunia kuwa na mume kama yeye.
 
Watu walioishi pamoja kwa muda wote huo huwa hawapishani sana kusepa. Soon Malkia nae ajali yake itafika. Kuna vitu atamis hususan zile story za kukumbushana ya ujanan kabla ya kulala usiku, upweke na kinga dhaifu kulingana na umri vitamwondoa mapema.
Mama Maria Nyerere mpaka leo anadunda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Philip was deeply matter-of-fact about it all. When I remarked that, in some ways, he must have had a difficult childhood, he shrugged it off. ‘I don’t know,’ he said, ‘it was the childhood I had.’
 
Kitendo cha kuwaona William na Harry wakiongea leo hadharani japo for few minutes kimenipa faraja na kuona their future as Brothers is very bright. My favourite members of Royal Family were Lady Di and the two Brothers but nowadays only Prince Harry and his wife.
Ni kweli kabisa, na Malkia alikua anajivunia kuwa na mume kama yeye.
 
Kitendo cha kuwaona William na Harry wakiongea leo hadharani japo for few minutes kimenipa faraja na kuona their future as Brothers is very bright. My favourite members of Royal Family were Lady Di and the two Brothers but nowadays only Prince Harry and his wife.
Wanaume wote wa Royal Family ni maofisa wa jeshi na walitakiwa leo wote wavae sare za jeshi kumuaga Prince Philip. Lakini kwakua Harry amevuliwa vyeo vyake vya kijeshi, Malkia amesema wote wavae suit wasiwe tofauti na Harry. Malkia ametumia busara kubwa.
 
nakumbuka mazishi ya Princess Diana "Candle in the wind" ilitutoa sana machozi....may her soul continue to rest well.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Queen’s decision was excellent I applauded her yesterday when she made that decision against the advice of the ‘institution”
Wanaume wote wa Royal Family ni maofisa wa jeshi na walitakiwa leo wote wavae sare za jeshi kumuaga Prince Philip. Lakini kwakua Harry amevuliwa vyeo vyake vya kijeshi, Malkia amesema wote wavae suit wasiwe tofauti na Harry. Malkia ametumia busara kubwa.
 
Huu ujinga wa kifalme ingekuwa Africa kungekuwa na kelele kibao......ila yameshakuwa outdated hayo mambo ya kifalme....
 
Huu ujinga wa kifalme ingekuwa Africa kungekuwa na kelele kibao......ila yameshakuwa outdated hayo mambo ya kifalme....
Hivi Magufuli angekua Mfalme wetu, saaa hivi yule mwanae Joseph andiye angekua mtawala.
 
Back
Top Bottom