Picha za Malkia Elizabeth II na mume wake Prince Phillip wakiwa vijana

Hii ni way style, ndiyo vijana wa enzi hizo walikuwa wanachana hivyo.

Hata Oscar Kambona na Dr Kamuzu Banda walichana way la kufa mtu.
oooooh kumbe sasa vijana wa siku hizi tunakwama wapi ?
 
Kwanza watoto hawakurithi jina lake

Pili kila wanapokwenda hawezi kukaa kabla malkia hajakaa.

Na mengine mengi

Alichofaidi ni kunyunyiza tu. Siku hizi za uzeeni ndio amekaa kimya kabisa. A good but miserable life that he had chosen. How could it be without being myself?

Kazi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…