Anakula pesa ya tax payers, unafikiri kuwa 98 na bado unadunda kunakuja na matunzo mazuri. Mume wa Queen ni mtu mkubwa sana hasubiri foleni kwa daktari wala hapigi pasi shati lake.Alichofaidi ni kunyunyiza tu. Siku hizi za uzeeni ndio amekaa kimya kabisa. A good but miserable life that he had chosen. How could it be without being myself?
Kazi kweli kweli
Anakula pesa ya tax payers, unafikiri kuwa 98 na bado unadunda kunakuja na matunzo mazuri. Mume wa Queen ni mtu mkubwa sana hasubiri foleni kwa daktari wala hapigi pasi shati lake.
Ni mtu mkubwa sana ila asiye huru. Bora wauza madafu wenzangu wa Tandale. Maisha hayo you compromise all to get half.
Nilisoma historia yao kidogo, alileta mabadiliko makubwa Buckingham Palace baada ya mke wake kuwa Malkia mpaka alimkera mama mkwe ambae aliona legacy ya mume wake inafutwa.Nasikia jamaa ni mtata mno-sio boya hata kidogo
Nilisoma historia yao kidogo, alileta mabadiliko makubwa Buckingham Palace baada ya mke wake kuwa Malkia mpaka alimkera mama mkwe ambae aliona legacy ya mume wake inafutwa.
Moja wapo lilikuwa kununua washing machines na dry cleanings machines. Staff walimpenda sana kwa hilo.
Nilisoma historia yao kidogo, alileta mabadiliko makubwa Buckingham Palace baada ya mke wake kuwa Malkia mpaka alimkera mama mkwe ambae aliona legacy ya mume wake inafutwa.
Moja wapo lilikuwa kununua washing machines na dry cleanings machines. Staff walimpenda sana kwa hilo.
Walikwenda China 1998 baada ya official talk balozi wa Uingereza aliwaalika dinner Waingereza wanaishi China Malkia akiwa mgeni rasmi....halafu nasikia akiambana na malikia safari za nje ni lazima aharibu-...kuna mahali walienda walivyokuja kupokewa akawauliza mmeacha kula nyama za watu ?!!
Baby I love youWalikwenda China 1998 baada ya official talk balozi wa Uingereza aliwaalika dinner Waingereza wanaishi China Malkia akiwa mgeni rasmi.
Wakati mke wake anayo a speech huko jamaa aliwaambia Waingereza mkikaa huku sana macho yenu yatakuwa madogo kama Wachina.
Kesho yake habari ilikuwa kwenye magazeti ya China. Wizara ya mambo ya nje ya Uingereza ilibidi kuomba msamaha.
Haisaidii. Amewekwa mfukoni hana namna. Na familia kama zile, ukiwa mjuaji sana yanakukuta ya Prince DianaNasikia jamaa ni mtata mno-sio boya hata kidogo
Eclat naomba kuuliza huyu jamaa kwetu huku tungemsimanga kuwa Marioo? huko wanamuitaje?View attachment 1175074
Siku wanatangaza engagement yao 1947
View attachment 1175075
Picha ya kumbukumbu ya engagement
View attachment 1175076
View attachment 1175077
Jamaa alifaidi sana huyu, tangia kakiwa kadada mpaka leo? hakuna aliye na skendo ya kuchepuka kweli hapo?Ni utamaduni wa wafalme wote lazima wapitie jeshini, kumbuka Alexander the Great, Napoleon, etc
angalia sasa macho yako chini!Jamaa alitoboa bikra hapo,